mkuu hapo kwenye red pana utata sanaBodi ya Mikopo pelekeni mapendekezo Serikalini kuwa kila Mwanafunzi wa Elimu ya juu anayepata Udahili katika Chuo chochote apatiwe mkopo na iwekwe utaratibu wa kuwaajiri ili waweze kulipa mikopo hiyo.Hii inawezekana ni maamuzi tu.Wana JF mnaonaje hii?
Wewe unataka shughuli nyingine zisimame. Bodi inafanya kazi vizuri.