Naomba nikushauri kocha wetu was Taifa kwa kuuliza swali sio nikiwa na chuki binafsi kwa aina ya wachezaji kama hawa! Hivi wachezaji kama mrisho ngassa unadhani watakufikisha wapi? Wako wengine wa aina hiyo! Hebu tathmini mchango wao kwenye time kwa kipindi cha miaka miwili hivi uone kama Tanzania yoooote hii bado unhitaji aina ya wachezaji kama hawa! Hawana jipya uwanjani! Hawajitumi!sio wabunifu! Uchezaji wao ni uleule! Miaka yote Jee unategemea mapya kweli????