Ushauri kwa CHADEMA kuhusu Maandamano na Mikakati Mipya

Ushauri kwa CHADEMA kuhusu Maandamano na Mikakati Mipya

D Metakelfin

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
3,399
Reaction score
3,666
MAXIMILIAN LUDOVICK "Kaka Lema, hebu BASI kubalini kufundwa kwa HISTORIA, NADHARIA na NYAKATI. Maandamano haya wakati huu kwa WATANZANIA hawa wasiojitambua, ni UPOTEVU BURE wa MUDA, na UDHARIRISHAJI wa TASWIRA NA NADHARIA ADHIMU ya MAANDAMANO ya AMANI.🥺🥺

Baada ya kile kilichojiri kwenye maandamano ya OCTOBA 23, nilitegemea kuwaona viongozi wa chama wakiwa mstari wa mbele katika kuhamasisha mageuzi ya kimbinu na kimkakati, ili kuhakikisha wanarudisha IMANI isiyo na HOFU na MVUTO usio na MASHAKA katika mioyo na nafsi za wananchi WENGI walio WAJINGA na WAPUMBAFU.

Huu sio muda wa CHADEMA kufanya HARAKATI BUBU zilizo TASA, bali ni Muda wa CHADEMA kuwa wabunifu na wajanja katika kufanya SIASA. Your SMART BRAINS ARE FAR BETTER THAN WHAT YOU PLAN AND DO. WITH THAT BEING SAID, YOU CAN INVEST IT IN PREPARING HEAVY AND PRETTY DISHES, RATHER THAN JUST MAKING IT DEAL WITH PETTY MEALS BROTHER.
✊🏿.1. Wakati ambapo CCM wapo busy kuinfiltrate hamasa yao ya kisiasa katika vilabu vyetu pendwa vya soka, wao huwa wanafanya nini?
2. Wakati ambapo viongozi wa CCM wapo busy kuinfiltrate hamasa yao ya kisiasa kwa watu mashuhuri na wasanii, wao huwa wanafanya nini ndugu yangu?
3. Wakati ambapo madiwani, wabunge na viongozi wa Chama cha Mapinduzi wanapambana kuanzisha na kuratibu ligi za mbuzi, ngombe na kondoo vijijini, wao huwa wanafanya nini mijini?
4. Wakati ambapo CCM wapo busy kuinfiltrate hamasa yao ya KISIASA mashuleni na makanisani, wao huwa wanafanya nini mitaani?
5. Wakati ambapo CCM huitumia mitandao ya FACEBOOK na INSTAGRAM kutanua mawanda yao ya kisiasa, wao huwa wanafanya nini twitani (X)?
6. Wakati ambapo CCM wanazunguuka vijijini KUWALAGHAI wakulima na wafugaji wasio na elimu kwa siasa petty zisizo na mashiko, wao huwa wanafanya nini mijini?

MAJIBU YA MASWALI HAYA, YANAPASWA KUKUPATIA TASWIRA FULANI JUU YA UHALISIA WA SIASA ZA UPINZANI HAPA NCHINI

MWITA C MWITA "Umeandika vema & honest i
Bahati mbaya sana tumetengeneza mfumo wa vyama vya kisiasa ambavyo kwanza havina utayari wa kupokea mawazo mapya wala watu wapya out of their cabal!

Zaidi, what's happening leo kina features za kisayansi kabisa kabisa mfano;

Simple example ni kwamba over the past years vijana walijitoa sana kwa ajili ya mabadiliko, some of them are injured to life, dead, prisoned etc ONLY to see kile mlipigania kinaishia watu kununuliwa, kuhama vyama over pennies etc. So Kuna a cumulative reasons as to why kuna hii low morare ambapo;

Yes kunaeza kuwa na sababu za kiutawala BUT we can't ignore kwamba ziko sababu za ndani ya vyama vya siasa as to why kuna low morare hata miongoni mwa wanachama wao.

Mfano CHADEMA as per statement ya John Heche ina wanachama 8M unaeza soma hapa (jamiiforums.com/threads/john-h…) ukiuliza kwanini kama chama can't even pull up this huge bank of members to register you'll find out ni sababu za ndani ambazo zimetengenezwa mazingira ya kwmaba huruhusiwi kuhoji wala kuwaza.

Zaidi, chama kimewahi weka azimio la ndani kwamba hakiwezi KAMWE kushiriki uchaguzi bila katiba mpya au tume ya uchaguzi, soma hapa (mwananchi.co.tz/mw/habari/kita…) na hakuna mahala kimewahi denounce hii kauli ya kiapo.

Sasa unapokataa kuwajibishwa kwa sababu za ndani na ukataka tu kuwajibika kwa sababu za nje na ukatengeneza Troll Bots na mechanism za ndani ya chama za kutohojika WHY LEO unaeza kuwa na guts za kuhoji why kuna low morare ?

Mwisho; Unapotengeza hii loophole as a political party kitaaluma tutakutazama in two main faces ONLY.

1. Serikali iliyopo is competent enough that you can't trade your philosophy.

2. You need to restructure your strategies. Maana dunia is ain't for weak it's either you cope or perish. Simple!"

20241017_080646.jpg
 
It is true, Kuna mambo kibao yanayofanya wafuasi wa chadema kujitenga na siasa kwa sasa:-
1. Ukigeugeu wa viongozi ktk kusimamia matamko yao.

Walisema bila katiba mpya na tume huru chadema haitashiriki chaguzi. Lkn mara ghafla wakabadili gia angani.
2. Baadhi ya viongozi wa chadema kukubali kununuliwa na ccm.
Hii inatoa picha kwa wafuasi kuwa viongozi wa chadema wapo kwa ajili ya maslahi yao.
3. Mbowe kupuuza matakwa ya wanachama wa chadema.
(a) Wafuasi wengi wa chadema akiwemo Lisu, walipinga maridhiano lkn Mbowe akashupaza shingo.
(b) Wafuasi wa chadema waliokuwepo kwenye msiba wa mzee Kibao walitaka Masauni aondoke, vinginevyo angeondoshwa kwa mawe, lkn Mbowe akawa mbogo..
 
Back
Top Bottom