Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
CHADEMA wanapaswa kuweka mbele agenda yake ya katiba mpya kila wanapopata nafasi. Ni vizuri leo katika ujio wa Lema wawe na mabango makubwa ya katiba mpya. Mapokezi ya Lisu sikuona pia mabango ya katiba mpya. Matokeo yake wanaonekana wanajikita zaidi kwenye watu kuliko agenda.
Ni vizuri kuanzia sasa kwenye kila mkutano wao wa hadhara, wahamasishe wafuasi wao kuwa na mabango ya kutaka katiba mpya. Iwapo watafanya hivyo watapandishà hamasa ya katiba mpya kwa umma.
Ni vizuri kuanzia sasa kwenye kila mkutano wao wa hadhara, wahamasishe wafuasi wao kuwa na mabango ya kutaka katiba mpya. Iwapo watafanya hivyo watapandishà hamasa ya katiba mpya kwa umma.