Chadema hawanaga ajenda siku zoteCHADEMA wanapaswa kuweka mbele agenda yake ya katiba mpya kila wanapopata nafasi. Ni vizuri leo katika ujio wa Lema wawe na mabango makubwa ya katiba mpya. Mapokezi ya Lisu sikuona pia mabango ya katiba mpya. Matokeo yake wanaonekana wanajikita zaidi kwenye watu kuliko agenda.
Ni vizuri kuanzia sasa kwenye kila mkutano wao wa hadhara, wahamasishe wafuasi wao kuwa na mabango ya kutaka katiba mpya. Iwapo watafanya hivyo watapandishà hamasa ya katiba mpya kwa umma.
Agenda ya UFISADI walikuwa nayo awamu ya nne,Chadema hawanaga ajenda siku zote
Agenda ya UFISADI walikuwa nayo amamu ya nne,
Magu alipoichukua HOJA ya UFISADI na kuitekeleza, waligeuka tena na kudai mafisadi watumbiliwe kistaarabu,
Ameingia sa100 na mafisadi wamerudi, Wana kigugumizi kurudia hoja ya UFISADI, wamejikita kwenye HOJA ya KATIBA mpya.
Anyway, Naungana nao kudai KATIBA mpya, maana kupitia hiyo, mifumo ya UFISADI itaondoshwa.
Unayemwita mama na CCCCCM hawana mpango na KATIBA mpya tuitakayo.Katiba mpya ni ajenda ya kitaifa kwa Sasa. Siyo ajenda ya chama. Mama kishakubali, na amaeahidi kuweka utaratibu wa kuitekeleza. Sasa mabango ya nn tena?
Huna akiliMapokezi ya Lema yametoa ujumbe mzuri kwa Lissu na wengine ambao sio wa kaskazini kwamba hawathaminiki. Mapokezi ya Lissu yalikuwa ya kawaida sana kiasi kwamba hata Mbowe alisusa kwenda kumpokea. Je, Lema ana thamani kubwa kuliko Lissu? Jibu ni hapana ila kwa wamiliki wa chama Lema ana thamani kubwa kuliko mtu baki Lissu. Hili ni fundisho kwa kina Sugu, Msigwa, Heche, na wakuja wengine. CHADEMA ni kaskazini wengine wote ni viherehere vyenu na kujipendekeza.
CDM kwenye compaign zake enzi ya Lowassa kupitia ilani aliyoandaa Slaa, waliahidi Kununua ndege za kisasa kupromote utalii,Magufuli hajawahi kupambana na ufisadi wala mafisadi, bali alipambana na matumizi ya neno fisadi.
Mapokezi ya Lema yametoa ujumbe mzuri kwa Lissu na wengine ambao sio wa kaskazini kwamba hawathaminiki. Mapokezi ya Lissu yalikuwa ya kawaida sana kiasi kwamba hata Mbowe alisusa kwenda kumpokea. Je, Lema ana thamani kubwa kuliko Lissu? Jibu ni hapana ila kwa wamiliki wa chama Lema ana thamani kubwa kuliko mtu baki Lissu. Hili ni fundisho kwa kina Sugu, Msigwa, Heche, na wakuja wengine. CHADEMA ni kaskazini wengine wote ni viherehere vyenu na kujipendekeza.
CDM kwenye compaign zake enzi ya Lowassa kupitia ilani aliyoandaa Slaa, waliahidi Kununua ndege za kisasa kupromote utalii,
CDM waliahidi kuanzisha mahakama ya UFISADI, waliahidi pia kujenga reli ya Umeme, waliahidi pia Kutoa Elimu Bure Hadi form six,
Alipoingia Magu alicopy yote ya CDM na kuanzia kupambana na CCM wenzie, Cha kushangaza CDM waligeuka na kurudi kushirikiana kundi la wanamtandao.
Wote waliotuhumiwa kupewa pesa kwenye mafurushi ktk KASHFA ya EPA na Richmond aliwakamata, CDM wakarudi kuwatetea.
Hivi hapo tunamlaimu vipi Magu? Anyway, HOJA ya KATIBA mpya inatuunganisha tupo pamoja.
The end justifies the means.Waliahidi kununua ndege na sio kukurupuka kwenye manunuzi ya ndege kwa njia za kificho.
CDM waliahidi kuanzisha mahakama ya mafisadi, Magufuli akaiga, ili ionekane anapambana na ufisadi. Lakini baada ya muda akaona mafisadi ni CCM wenzake akamtuma Mwakyembe kuseme mahakama ya mafisadi imekosa watuhumiwa!
Elimu bure ilikuwa ni hadi chuo kikuu sio form four. Mtaje mwanasiasa yoyote wa CCM aliyetuhumiwa kwenye ufisadi wa Richmond, EPA nk aliyekamatwa na Magufuli.
Kenya wamepata KATIBA mpya, ghafula mashoga wameruhusiwa kusajiliwa,CHADEMA wanapaswa kuweka mbele agenda yake ya katiba mpya kila wanapopata nafasi. Ni vizuri leo katika ujio wa Lema wawe na mabango makubwa ya katiba mpya. Mapokezi ya Lisu sikuona pia mabango ya katiba mpya. Matokeo yake wanaonekana wanajikita zaidi kwenye watu kuliko agenda.
Ni vizuri kuanzia sasa kwenye kila mkutano wao wa hadhara, wahamasishe wafuasi wao kuwa na mabango ya kutaka katiba mpya. Iwapo watafanya hivyo watapandishà hamasa ya katiba mpya kwa umma.
Erythrocyte take note of thisCHADEMA wanapaswa kuweka mbele agenda yake ya katiba mpya kila wanapopata nafasi. Ni vizuri leo katika ujio wa Lema wawe na mabango makubwa ya katiba mpya. Mapokezi ya Lisu sikuona pia mabango ya katiba mpya. Matokeo yake wanaonekana wanajikita zaidi kwenye watu kuliko agenda.
Ni vizuri kuanzia sasa kwenye kila mkutano wao wa hadhara, wahamasishe wafuasi wao kuwa na mabango ya kutaka katiba mpya. Iwapo watafanya hivyo watapandishà hamasa ya katiba mpya kwa umma.
😆Erythrocyte take note of this