K kimbokwa Member Joined Jul 31, 2015 Posts 25 Reaction score 2 Jul 30, 2016 #1 NENDENI MAHAKAMANI MKADAI HAKI YENU YA KIKATIBA YA KUJENGA YAMA VYENU
M mwembemdogo JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 2,282 Reaction score 1,252 Jul 30, 2016 #2 Ushauri mzuri sana kwani vyama vya siasa vipo Kwa mujibu wa Sheria sio hisani Msajili wa vyama badala ya kuhakikisha vyama vya siasa vinatimiza wajibu wao kama Sheria inavyotaka yeye kakaa kimya
Ushauri mzuri sana kwani vyama vya siasa vipo Kwa mujibu wa Sheria sio hisani Msajili wa vyama badala ya kuhakikisha vyama vya siasa vinatimiza wajibu wao kama Sheria inavyotaka yeye kakaa kimya