USHAURI KWA DARASSA

Darasa atabaki kua darasa tu...
Kama wewe ni mpenzi wa muziki basi sina shaka nafasi ya aliowakuta itabaki palepale....anaongeza mashabiki ,muhimu ni kuendelea kufanya kazi nzuri
 
Hivi kutoa video hizo sijui ngapi mwaka huu ndio kigezo cha kuwakandia na kuwaita malimbukeni?
Watu wameanza kwenda SA hata kabla huyo hascana hajaanza kufanya kazi!Enzi za Adam juma wa visualab.......Hebu acha kila mtu afanye video popote duniani anapotaka ilimradi yeye aridhike na alichofuata huko!!
Hii post ya kuwakandia wanaoenda south africa niliiona juzi kwenye insta page ya huyo hanscana nikashangaa kweli,
Namshauri afanye kazi nzuri hao wanaokwenda SA watamtafuta tu hapa hapa bila ya kutumia nguvu nyingi kuwaita malimbukeni......
Hata nisher alikuwa anakuja juu majigambo ya kipumbavu yamempoteza!
Hebu jifunze kwa yule video director wa Diamond na aliyetengeneza Moyo mashine anaitwa Nick kama sijakosea aliulizwa kwanini video zake hazina majina yake kama njia ya kujitangaza akasema kama video zake zitakua nzuri watu wakapenda watamtafuta tu,kikubwa yeye anataka afanye kazi nzuri...........

Hascana usipovimba kicha trust me utafika mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…