Ushauri kwa dawa ya UTI

Jitahid sana kunywa maji mengi, na wakati unakwenda kujisaidia haja kubwa/ndogo hakikisha unamwaga maji ya kutosha kwanza ndipo uanze shughuli yako
 
Wakuu naomba dawa isiyo ya gharama au ushauri kwa UTI sugu

Vidonge vya Amoxiclav kutwa mara mbili kwa siku saba inasaidia sana.
Unaweza kutumia dawa ya Cital kupunguza maumivu.
Unywe maji mengi ili kupunguza idadi ya bakteria.

Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…