Ushauri kwa Diamond Platnumz

Makonda oyeeee
diamond oyeee
Bora mimi nikae kimya nikipotea hapa nisije nikaliza ndugu zangu kwa ujinga bora nikae kimya kwasababu ata ukiongea aje magufuli abadiliki kamwe ni bora nimpende hivyo hivyo tu kwa usalama wangu
 
Ukiacha utimu fisi wako pembeni au utimu gani... lakini huyu mleta mada kaeleza maneno yenye hoja ni jukumu la washauri kupembua kinachowafaa na kukifanyia kazi.
 
Hii ingetoka kukiwa hakuna bifu kati ya Shigongo na Diamond, ingekuwa na mashiko sana, ila sasa hili bifu linaizima hii story.
Bifu halisaidii chochote mkuu na haliwezi kuzima hii stori ila tu cha msingi hapa alichokiandika mwandishi ni sahihi? Kina mashiko? Kwa muda uliopita kama mwezi mmoja hivi huyu jamaa kasakamwa sana kuhusu vyeti na uvamizi wa kituo cha Clouds na yote haya hakuyatolea ufafanuzi wowote ikimaanisha wanachosema wananchi juu ya huyu bwana mdogo ni kweli maana hakuna sehemu aliyokanusha. Mwisho namalizia kwa kusema Diamond anafanya kitu ambacho kinaweza kumtoa hapo alipo hadi chini kwa kuleta ushabiki wa kipuuzi kabisa.
 
Mwisho namalizia kwa kusema Diamond anafanya kitu ambacho kinaweza kumtoa hapo alipo hadi chini kwa kuleta ushabiki wa kipuuzi kabisa.

Without being bias, Diamond ninamwelewa na huo upupu wake ninauelewa.

Turudi kwa hao kina Shigongo, ni mara ngapi wamesema Diamond anashuka na hakushuka? Na mara zote ilikuwa ni kwa kutofautiana kibiashara, kama ilivyo sasa.

Nikukumbushe;
  • Magazeti ya Shigongo yamemwandika Diamond mara nyingi sana kwamba anahusika kwenye uuzaji wa madawa, mpaka zile nguo za jeshi alizovaa Fiesta moja ya hapa Dar walisema ndo zile walizoshikwa nazo kina Chonjo. Nanukuu andishi la GPL
AKUTWA NA SARE ZA JESHI
Tukio lingine liliwatikisa polisi wenyewe kufuatia upekuzi wa kina nyumbani kwake ambapo walimkuta pia na sare mpya za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) zinazofanana kwa sehemu kubwa na zile zilizomwingiza Mbongo Fleva, Nasibu Abdul &[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];Diamond' kwenye mzozo na jeshi hilo.
  • Ni magazeti haya ya Shigongo yamechochea sana mgogoro wa Diamond na Baba yake, mpaka kufikia kumrekodi mzee wa wa watu akiwa amelewa, wanamlisha maneno ya kuongea, mara wanamwambia azuge anaumwa sana na Diamond kamtelekeza kabisa.
  • Ni Shigongo na Magazeti yake na mtandao wa GPL uliofanya polls kuonesha kuonesha kwamba Ali Kiba ni msanii mkubwa na bora kuliko Diamond, na hii ni baada ya Diamond kukataa kiasi kidogo alichotaka kutoa Shigongo ili Diamond aperform kwenye Tamasha la Matumaini.
  • Ni mara ngapi Global Publishers wamesema Diamond ni Freemason? Ni hii wameiandika si mara moja wala mbili.
  • Global Publishers wameandika mara nyingi sana kuhusu Diamond kutumia waganga wa kienyeji, na source yao kubwa wanasemaga eti ni mtu wa karibu.
  • Kashfa za Diamond kuhusu kutoka na wanawake mbali mbali zimeandikwa na Shigongo na mitandao yake/magazeti, na hizi zote lengo halikuwa kumpandisha Diamond bali kumshusha.
  • Na kadhalika, na kadhalika.
In short Shigongo kamwandika vibaya Diamond mara nyingi zaidi ya alivyomwandika vizuri, Shigongo na timu yake ni wanafiki wakubwa sana, na kama Diamond anashuka hawezi kushushwa na huyo Shigongo, atashuka kwa sababu zingine tu ila siyo Shigongo.

Shigongo kaharibu maisha ya watu, amewaandika watu kibao bila hata kusikia upande wa pili unasemaje. Leo yeye kasemwa anaanza kulia lia.
 
"Napata za chini ya Kapeti kuna redio imevamiwa geti" na sio "eti"

Mwandishi acha kumlisha maneno msanii.!
 
Kwani Tanzania msanii ni Diamond tu? Si muwaalike wakina Mrisho Mpoto wawaimbie, msitafute sababu na biashara za watu.
 
Hiv wale wa kina P square Davido Mafikzolo Saut Soul Show za nchini mwao huwa ni za bei ndogo enhee?
Lazima thaman ya muziki wako ionekane kwan zile video za mamilion huwa akirekodi huwa anasema kuwa anatoka tanzania so wamuonee huruma?
Yeye Shigongo si alikuwa anauza magazet yake 150 enzi hzo mbona sasa hvi anauza 500 ina maana yeye hawaonei huruma watanzania masikini?
Kuna stage ikifika ya maisha lazima ujue thaman yako unafikir Diamond akienda Dar Live kupiga show kwa milion 10 yeye shigongo ataingiza kias gan kutokana na hyo show aache unafiki kila mtu anaangalia faida.
 
We shigongo kafie mbele huko!Unafiki tu umekujaa,kwani msanii ni diamond tu?!hata iweje hawawezi kumshusha
 
Diamond Ni Mtu Huru Ana Haki Ya Kuwa Kokoote, Co 7bu Clauz Wamesema Bac Nae Ashabkie K2 Acchokijua Ndo Maana Akasema ETI. Tatzo Lililopo Ni Kwamba, Makonda Kwamda Mrefu Amekuwa Kwenye Kashfa Ya Vyeti Na Chuki Kuhusu Madawa Ya Kulevya, Lkn Tunasahau Kuwa Bado Ni Mwenyekiti Wa Ulinzi Na Usalama Wa Mkoa. Me Cbsh Km Hawakuvamia Ila Ukcklza Maelezo Ya Boc Wa Clauz Alidai Alienda Na Askar Wa Magu. Hapa Kuna Maswali 10 Ya Kujiuliza, 1.Kwann Alipewa Wale Askar? 2.Kwann Walienda Kwa Ambush? 3.Kwann Clauz Waonyeshe Picha Au Video Na Wasirecord Mahojiano?(ukiletewa Pcha Ya Mkeo Kacmama Na Mtu Na Kuambiwa Walikua Wanatongozana Utaamini?) 4.Nan Alietoa Ushahd Km Mahojiano Yalihusu Shilawadu? 5. Vp Mnawaamini Km Wao Ni Credible? 6.Marangap Wamekuwa Wakilalamikiwa Na Wasanii Wakongwe Kwa Unyonyaj Na Utapeli? 7.Kwann Nape aliondolewa? 8.Kwann Makonda Haongei Chochote? 9.Km Askar Ni Wa Ikulu, Inamaana Mkuu Anahucka?10.Hiyo Tume Iliyoundwa Ilitaka Kumtia Hatiani Nani Makonda Au Magu? Co Kla K2 Serikali Itaweza expose
 
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi wa kushiba. Kumbe jamaa ni nyoka mbaya sana kwa D. Platnum, hapaswi kusikilizwa juu ya huyu msanii maana kama ni nyoka ni lazima atie chumvi nyingi tu kumchafulia huyu mwanamuziki wasifu wake alioutengeneza kwa muda mrefu, haifai penye ukweli aseme ukweli sio kuongeza chumvi wakati haiitajiki.
 
Umeandika maneno mengi badala ya kusema tu makonda aonyeshe vyeti jambo ambalo anatakiwa amuulize aliye mteu inawezekana yule aliyekuambia unatumika hajakosea watu wanapambana na ngada wewe unapambana na vyeti au diamond eti kaandika sijui nini na wewe andika mashairi karekodi tukusikie usimpangie msanii cha kuandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…