Chomoa na betriMlio karibu na Diamond mshaurini aache kuimba live wakati wa show. Hawezi kabisa, sauti yake inakuwa nje ya tone kabisa ya music. Nimefuatilia comments za warundi kufuatia show yake Bujumbura. Wamemsifia kwa kujua kudansi huku wakiponda uimbaji. Matokeo yake, show zinazorota kwa kuwa mashabiki hawapati vile vionjo vya muziki wanavyovitarajia.
Umeshindwa kuelewa au hupendi tu maoni yaliyo tofauti na matarajio yako? Utakuwa mpenzi mzuri wa Diamond kwa kumshauri na si kwa kusifia tu hata kwenye mapungufu ya wazi.Ume andika nini sa apa ??
Tena wa nguvu. Hii ni kwa sababu tunataka Diamond aendelee kwa juu kwa kumsaidia kurekebisha mapungufu.Uzi tayari.
Hawa ndio watoto wa facebook, badoo na instagram.Aaah wabongo bhana embu imba ww bas tusikie iyo saut yako
Kuwa serious basi mkuu. Binafsi nampenda jamaa, ila ningependa hilo pungufu alifanyie kazi.Niko naongea naye hapa sahv mkuu
Wewe ndiye?Sawa mkuu nitaacha kuimba live.
Ulichoandika hakieleweki. Kaisome mada upyaLive afu unataka tena sauti.
Sauti kasikilizie geto kwaako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]msubiri Ruttashobolwa aje na mipovu kama ametafuna majani ya mti wa mpapai.