Ushauri kwa Diamond Platnumz

Na hilo la mzuka kupitiliza ndio tatizo kuu. Anatakiwa atulize mzuka sehemu ya kuimba verse na apandishe sehemu ya chorus. Bila shaka show itakuwa murua kabisa. Wasanii maaarufu wengi hufanya hivyo. Sehemu ya kuimba hawachezi sana. Sehemu ya chorus na vyombo tu ndio hucheza na kurukaruka.
 
Wapo wanaopenda sauti yake akiimba hivyo hivyo
So we Fanya mambo yako tafuta pesa ucje gongewa demu wako
Hahaha! Wewe ni kijana wa mwendokasi bila shaka.
 
Hao warundi ulioona comments zao akiwa na show kesho pale Namboore watajaa mara mbili ya juzi.
 
Aache kuimba live au aboreshe uimbaji wake ili awe kwenye key?¿??
 
studio pia hakuna wafanyacho wanatumia auto tone kwa kwenda mbele kuingiza zile trenors unazoziona tamu
 
Huyu Christian Bella..anajua sana kuimba live band
 
Kuwa serious basi mkuu. Binafsi nampenda jamaa, ila ningependa hilo pungufu alifanyie kazi.
Ni huko Bunjumbura na Kigari au hata marekani, comoro, Ethiopia ilikuwa hivyo..?
 
Aache kuimba live au aboreshe uimbaji wake ili awe kwenye key?¿??
Aboreshe. Ikishindikana apige background tu. Vibe linakuwa kubwa sana sbb mashabiki wanapata radha nzima ya music wake.
 
Ni huko Bunjumbura na Kigari au hata marekani, comoro, Ethiopia ilikuwa hivyo..?
Mimi nimesoma comments za Bujumbura na Kigali tu, kwa Marekani sijui mkuu.
 
toka lini watu wanatoa judgement kwakuona comments za wavuta bangi?
 
toka lini watu wanatoa judgement kwakuona comments za wavuta bangi?
Hoja yako si ya kujenga. Hao unaowaita wavuta bangi ndio mashabiki wenyewe ambao Diamond anatengeneza mziki kwa ajili yao. Hatengenezi mziki kwa ajili ya mabwanyenye kama wewe kwa kuwa hata muda hawana.
 
Mkuu ngoja wenye team yao wakuje mapovu watakayokutolea hawatakuelewa kabisa na ukweli uliongea
 
Yule jamaa anafanya show kila siku..anachoka sana,jamaa halali yeye ni kwenye show tu hamna kupumzika,sauti lazima ilete mushkeri,jana burundi,leo rwanda,kesho kilimanjaro...n.k
 
Kuwa serious basi mkuu. Binafsi nampenda jamaa, ila ningependa hilo pungufu alifanyie kazi.
Wewe ni me au ke

Kama ni ME huwa tunasema tunakubal au tunazielewa kaz zako

Hayo mambo ya binafs nampenda hatunaga watu wa jinsia ME
 
Kila siku mnaongea yale yale na chuki zenu,lkn wenzenu walio wengi wanao mwitaji wanajua wanapata nini kutoka kwa Diamond Platnumz,miaka miwili mfululizo show zaidi ya 180 na kila siku anaongeza idadi ya nchi sasa hivu anahamia nchi zinazoongea kifaransa (Gunea,Siera leone,Cameroon,Senegal hii ni effect ya INAMA).

Cha msingi ujiulize kwa nini wale unaowajua ww wanasauti nzuri lakini hawapati show,ungewasaidia kuliko kumponda msanii ambaye ana show mfululizo.USICHOKIPENDA WW USIKITIE HILA KUNA WENGINE WANAKILILIA ndio maana jamaa and utitiri wa show.
 
Wewe ni me au ke

Kama ni ME huwa tunasema tunakubal au tunazielewa kaz zako

Hayo mambo ya binafs nampenda hatunaga watu wa jinsia ME
Umetawaliwa na mawazo ya kingono tu, poor you? Watu kama wewe ndio wanaharibu maana ya maneno ya kiswahili chetu pendwa kwa kunyumbulisha kila neno lifanane na tabia zao. Achana na hizo dogo. Ila kama wewe ni zao la badoo, instagram na facebook, sina jinsi ya kukusaidia.
 
Imba wewe basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…