KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Sasa ww utajuaje km hapa Jf km kuna GT wakati umejiunga kwa sababu ya uchaguzi..!! Endelea kufuatilia jf ndo utajua km hicho unachokisema kina maantiki. Mijadala iliyopo humu ni ya wazi na kila mtu yupo huru kusema lolote,ukienda nje ya kanuni za jf ban inakuhusu. Hatuwezi wote kuchangia km unavyowaza ww,kwa sababu ukipendacho wewe si jua linalowaangazia wote..!!!Watanzania sijui tutapona lini, huku JF nako tunajiita GT lakini mambo tunayoshabikia hayaendani na sifa yenyewe.
GT kwa kipi hasa??.
Jaribu kuwa msomaji wa mada na maoni ya watu humu JF kwa wiki nzima bila kuchangia chochote, utapata majibu kwanini nasema hivi..
Tatizo RAIA hawakuelewa Yale ile mistari katika wimbo fulani hiviHahahaha
Ujue Mondi juzi kaonekana kutaka yaishe
Heeee! Bwana Kiba aloko tokea huko akaonesha bado ana interest kabisa ya bifu.
Labda bifu lina m keep alive[emoji1]
Bas me mu analyse vzuri sanaSio mgumu ila ana maringo na dharau
Sasa ww jamani imekuuma nn povu lote hili limekutoka umeshindwa hata kufanya kaz za tija unamuingea mtu tena povu limekutoka kwel duuu punza bas jaziba utueleze vizur, sasa nikuulize kitu cheti feki ila kaz anafanya kama wtz tunavyotaka unataka tumutowe tukuweke ww?kwa nn hamkusema mapema wakat akiapishwa kwa nn povu likutoke kwa mtu anae fanya vyema tatizo ni chet ila sio uongoz kaka ingekuwa tatizo uongoz ila vyet orgnal ndo tungemtoa, hebu muache afanye kaz huyo jamaaa kama ww unataka ukuu wa mkoa hatukup eee.Diamond umehangaika kujenga brand yako sana.kitendo ulichofanya juzi kutokea kwenye sherehe ya makonda ya kutimiza mwaka mmoja wa Makonda umejishusha sana. Makonda ni mchafu sana kwa aliyoyafanya. Usidhani anapingwa na chadema tu..hata sisi CCM tunataka aondolewe.
Diamond umekosa nn? Unamashabiki wengi sana..!! Usipende kujihusisha na chama hasa na watu km makonda ambao wameshafuka. Unamashabiki wengi sana waliopo ccm, ukawa, na wasio na vyama. Acha kujipendekeza kijana jiamini..!! Makonda anakuzidi nini cha ziada..!! Makonda hakufikii kwa chochote. Makonda ni liability kwako ..not asset km unavyodhani.
Makonda acha kutumia mgongo wa wasanii kujisaficha hauwezi ukawa msafi tena. Kwanza umedanganya umma kuhusu jina lako, unatumia Cheti siyo chako. Chama kinapitia wakati mgumu kwa sababu yako. Umemfanya Rais anaonekana ana double standard kisa wewe.
Suala siyo ziro..suala ni kitumia Cheti cha MTU.
Diamond achana na makonda na mambo ya vyama. Makonda huyu ambaye akifika hata marekani anapiga picha..ushamba mzigo..!! Diomomd wewe siyo tid, wewe siyo yule mzee kijana mtoto wa malechela ambaye hajielewi.
Diamond kuwa mjanja basi. makonda anakutia aibu. Punguza kujifanya wewe ccm..wewe siyo ccm ..wenye ccm hawana makeke hivyo, wametulia kimya..!! Watakutumia tu. Hata juma nature na marlaw walikuwa ccm. Wewe ni asset..
Diamond unakuwa km bashite na wewe.
Mkuu umenisemeaWatanzania sijui tutapona lini, huku JF nako tunajiita GT lakini mambo tunayoshabikia hayaendani na sifa yenyewe.
GT kwa kipi hasa??.
Jaribu kuwa msomaji wa mada na maoni ya watu humu JF kwa wiki nzima bila kuchangia chochote, utapata majibu kwanini nasema hivi..
Kama mbowe gwajima na wemaDrug Dealers
Hapa sio jamaica...hawaathiriki kwa chochote kushabikia chama.Bob Marley alipogundua kila Mwanasiasa kule Jamaica anataka kumtumia kisiasa kwa sababu ya nyota yake ya Ustaa, hakumuunga mkono yeyote waziwazi!
Hawa wanamuziki wa sasa waachane na wanasiasa, ni bora kama wanataka kuwa wanasiasa basi wasimame wao kama wao!
jibu hilo pigia mstari. bashite ni mkosiSheikh mkuu, askofu na wenyewe wanajishusha??
Mdada ka ww unaandika huu uharooo...kama huu....bora unyamaze tu, kila siku unamtetea bwana ako kwa kigezo cha wivu wa maendeleoo....eti watu wanamuonea wivuu...polyeee, unaemtetea ni kilaza wa hali ya juu
* Amepiga atua kumi(10) hewa anarudi kumi na nane nyuma(18) . 10-18=???
Wasukuma wapole lakini washamba...yaani kuwa na simu mbili ndo maendeleoo??? Ushamba mzigooo....Ungekuwa umejiendeleza hata cm mbili usingekaa kuandika maneno machafu na hata kuni quote mimi, mchafu wewe na mvivu, wivu fanya kazi upate zako acha tamaaaa
Ukishindwa then kula na malizia kwa kulamba uharo wako unaokutoka
Makonda oyeeeeeee
Hahaha
Asee hata mi huwa nakuona
Hupendi kabsa tumguse mhemshimiwa RC
Kuna siku ulibishana na watu 70 [emoji23] kisa Bashite
unakasema kale kashekhe kanafiki ka dar au?Sheikh mkuu, askofu na wenyewe wanajishusha??
BravoDiamond umehangaika kujenga brand yako sana.kitendo ulichofanya juzi kutokea kwenye sherehe ya makonda ya kutimiza mwaka mmoja wa Makonda umejishusha sana. Makonda ni mchafu sana kwa aliyoyafanya. Usidhani anapingwa na chadema tu..hata sisi CCM tunataka aondolewe.
Diamond umekosa nn? Unamashabiki wengi sana..!! Usipende kujihusisha na chama hasa na watu km makonda ambao wameshafuka. Unamashabiki wengi sana waliopo ccm, ukawa, na wasio na vyama. Acha kujipendekeza kijana jiamini..!! Makonda anakuzidi nini cha ziada..!! Makonda hakufikii kwa chochote. Makonda ni liability kwako ..not asset km unavyodhani.
Makonda acha kutumia mgongo wa wasanii kujisaficha hauwezi ukawa msafi tena. Kwanza umedanganya umma kuhusu jina lako, unatumia Cheti siyo chako. Chama kinapitia wakati mgumu kwa sababu yako. Umemfanya Rais anaonekana ana double standard kisa wewe.
Suala siyo ziro..suala ni kitumia Cheti cha MTU.
Diamond achana na makonda na mambo ya vyama. Makonda huyu ambaye akifika hata marekani anapiga picha..ushamba mzigo..!! Diomomd wewe siyo tid, wewe siyo yule mzee kijana mtoto wa malechela ambaye hajielewi.
Diamond kuwa mjanja basi. makonda anakutia aibu. Punguza kujifanya wewe ccm..wewe siyo ccm ..wenye ccm hawana makeke hivyo, wametulia kimya..!! Watakutumia tu. Hata juma nature na marlaw walikuwa ccm. Wewe ni asset..
Diamond unakuwa km bashite na wewe.
Wasukuma wapole lakini washamba...yaani kuwa na simu mbili ndo maendeleoo??? Ushamba mzigooo....
Unasema mimi mvivu na naona wivu..unanlisha ww??? jibu swali unanlishaa???
Ila endelea kumpgia chapuo kibwana uchwara chako labda ndo kinakuweka mjiniiii.
Hivi siku labda akaonyesha chiti watasemaje?Diamind mlimshutumu sana alivyoipigia kampeni ccm kuwa atapoteza mashabiki lkn matokeo yake kaongeza mashabiki maradufu zikiwemo tuzo.
Kwenda kwenye party ya makonda hakutampunguzia chochote.
Halafu makonda hatumii cheti cha mtu mpk itakapothibitika mahakamani.
Mnafungua kesi jumanne kwa mujibu wa mstahiki meya wa ubungo..ngojeni kesi iishe uamuzi utoke hapo ndipo makonda atajua fate yake kama atafungwa ama la lkn mpk sasa bado ni 100 percent innocent.