Hongera DR.slaa tuko pamoja na wewe Mungu ameshakuteua kuiongoza Tanzania na maovu yote CCM waliyoyafanya Mungu anaendelea kutuonyesha kama ya leo jimbo la Segerea hapo Mungu kajidhihirisha, angalia kule shinyanga mshindi katangazwa CCM wanashinikiza aliyeshindwa atangazwa, JK kaenda mwanza kushinikiza halafu kaenda shinyanga kushinikiza lakini kote kashindwa kwa sababu Dr.Slaa ni mteule wa Mungu.
KUWA MPOLE HUKU UKIKUSANYA VIELELEZO HALAFU MWISHO TUTAFANYA MALINGANISHO NA WATANZANIA UTAWAJULISHA KISHA WATAAMUA.
Hongera Rais wetu endelea kuokoa madini ya shinyanga na mwanza Wasukuma umewafunda wamekuelewa wamekusikia na umeshuhudia waliyoyafanya kwa kuidhibu CCM