Ushauri kwa form six wote mnaofanya application za TCU 2015/16

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Kwanza kabisa napenda kuwapa asante kwa kuendelea kusoma blog yetu hii pendwa ya maswayetu ambayo imesheheni mambo mbalimbali yanaoelimisha na kujenga.
Leo napenda kuzungumzi suala moja tu lakini ni kubwana muhimu sana kulijua ni kuhusu kozi ya kusoma chuo kikuu,Napenda kuwaambia kuwa soma kitu ambacho unakipenda kutoka moyoni tangu utotoni sio kwamba kisa ualimu unaajira ya haraka unataka kukimbilia huko utakuwa umefanya wrong decision.


Read more »
USHAURI KWA FORM SIX WOTE MNAOFANYA APPLICATION ZA TCU 2015/2016,UKIZINGATIA HILI HAKUNA KOZI UTAKAYOSOMEA ISIYO NA AJIRA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…