Ushauri kwa GSM

Ushauri kwa GSM

This is...

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
5,050
Reaction score
5,204
SIMBA ni timu kubwa, naamini hilo wanalijua. Malengo na tageti ya GSM ilikuwa kuwatumia Simba kujitanua na kujulikana kibiashara kwasababu Simba ni ya kimataifa. Hivyo kupitia mashindano ya Afrika GSM watajulikana.

Tatizo linakuja kwamba GSM ni watu wajanja janja wasiofuata taratibu.

USHAURI wangu ni kwamba waende pale MSIMBAZI wakae mezani na Simba waongee biashara, waweke mzigo wa maana mezani, Simba watavaa nembo na kuwatangazia biashara yao.

Simba haina ugomvi na GSM bali ni maslahi. Simba inahitaji hela.

Ni mtazamo wangu. Nakaribisha mawazo kinzani
 
Target yetu...GSM...ilikuwa no kuwatoa kimchezo.....ili kwenye dabi mpoteane

But pia kumbuka ..Moo ni branch ya GSM
 
gsm afate ushauri huu kwenye uzi asilete janja janja,kale kamdada ni kembamba akana nyama lakini kana point za kutosha.
 
Kwamba Mungu hajakanyima vyote. Amekanyima chura lakini amepewa akili. Wema amenyimewa akili amepewa chura is asavavivu mjjni
 
SIMBA ni timu kubwa, naamini hilo wanalijua. Malengo na tageti ya GSM ilikuwa kuwatumia Simba kujitanua na kujulikana kibiashara kwasababu Simba ni ya kimataifa. Hivyo kupitia mashindano ya Afrika GSM watajulikana.

Tatizo linakuja kwamba GSM ni watu wajanja janja wasiofuata taratibu.

USHAURI wangu ni kwamba waende pale MSIMBAZI wakae mezani na Simba waongee biashara, waweke mzigo wa maana mezani, Simba watavaa nembo na kuwatangazia biashara yao.

Simba haina ugomvi na GSM bali ni maslahi. Simba inahitaji hela.

Ni mtazamo wangu. Nakaribisha mawazo kinzani
Kwanza nakuuliza uliona au kusikia gsm wanaongelea huo mkataba?wanaopigizana kelele ni tff na simba

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Jishauri wewe kwanza uondokane na umaskini mkuu.

Ukimaliza ndo ukamshauri tajiri GSM.
 
Kwamba Mungu hajakanyima vyote. Amekanyima chura lakini amepewa akili. Wema amenyimewa akili amepewa chura is asavavivu mjjni
Tumwanamke twembamba huwa ni tubishi mno,ukute anashule sasa alafu umememuoa basi kazi unayo ndani.
 
Jishauri wewe kwanza uondokane na umaskini mkuu.

Ukimaliza ndo ukamshauri tajiri GSM.
Hata nayo ni MAWAZO ya kimaskini kutoka kwa masikini aliyetopea.Maskini anafikiri kimaskini.

GSM ana wafanyakazi ktk kampuni zake ambao ni wasomi,planners, lawyers,wahasibu nk ndiyo wanaomshauri ili kampuni zitengeneze faida.Wote Hawa wote siyo matajiri ila wanamsaidia tajiri.

Hapa tunazungumza mpira.

Hii HOJA imekuzidi Kimo, hivyo hujaandikiwa wewe. Pita kimyakimya.

Karibu!
 
Target yetu...GSM...ilikuwa no kuwatoa kimchezo.....ili kwenye dabi mpoteane

But pia kumbuka ..Moo ni branch ya GSM
Mpaka sasa aliyemtoa mwenzake kwenye mchezo ni SIMBA. Simba wamefanikiwa!
 
GSM ndio katengeneze jezi za Simba ....

GSM ni mkubwa kuliko huyo MO
Hii ni biashara mkuu.

Bepari anaangalia faida haijalishi inapatikanaje au inatoka wapi.

Kwa mtazamo wako unadhani kabisa Mo hakujua Ni nani anaenda kutengeneza jezi za Simba.

Usishangae Mo+GSM+vunjabei walikaa mezañi wakazungumza biashara. Jaribu kuwaza tofauti mkuu. Hawa Wana kiu ya utajiri.

Mo na GSM hawako ktk hizi timu kujifurahisha km mnavyofikiri mashabiki. Bepari gani atatoa bilioni 2 au 5 halafu hajui ni kwanini na atapata nini.

Sisi tunashangilia mpira wao wanacheers kuingiza mabilioni ya shilingi.

Shabiki anahitaji furaha tu hakuna kingine anakipata kutoka simba au Yanga. Mo na GSM wao wanahitaji kuzitumia hizi timu kuimarisha misuli yao ya kiuchumi.

Karibu!
 
Kwanza nakuuliza uliona au kusikia gsm wanaongelea huo mkataba?wanaopigizana kelele ni tff na simba

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
GSM alishamaliza mkakati wake atapiga kelele za nini.

Aliotaka kuwatumia wameshtuka.

Simba wanahitaji kukaa mezani na Tff na GSM wenyewe. Hii Ni biashara. Hakuna kampuni inafanya biashara ya kupata hasara.

Kibaya hili sakata limetekwa na hoja za uvunjivu wa sheria na mhanga ni Tff na bodi ya ligi.
 
Back
Top Bottom