kweli aiseKitakakuja kuua wasanii wetu ni u-diamond mwingi kwenye kazi zao! Yani wamekuwa kama maroboti!
Huu ni ushauri wa busara kutoka kwa mwanaume kwenda kwa mwanaume.....Ila subiria sasa hivi wan awake watakuja na kuanza kukuita Hater.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe naona unataka kijana arudi kuuza kahawa.