inamaana kuna kuamua kurithi ama kutoamua?huyo jamaa yako anamtosa mdada wa watu kiaina...............kumbuka sio lazima watoto wake wakarithi
inamaana kuna kuamua kurithi ama kutoamua?
Huyo rafiki yako anatafuta upenyo wa kutokea tuu maana kashamchoka mwenzake na wala sio hicho kigezo
Ina maana muda wote aliokaa nae alikuwa hajajua kuwa mwenzake ana huo ugonjwa
inawezekana watoto wake wasirithi