Ushauri kwa Jaji Mkuu Tanzania

Ushauri kwa Jaji Mkuu Tanzania

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Ukipitia kesi nyingi za migogoro ya ardhi zinazoanzia kwenye ward tribunal (kwa sasa hazipo tena bali ni wasuluhishi) mpaka Court of Appeal na mwishowe kutupwa/kurudishwa kuanza upya either kwenye Mahakama ya nyumba na ardhi ya wilaya (DLHT) au kwenye Ward Tribunal (sasa haipo ni washauri) utaona kuwa tatizo kubwa ni composition ya wajumbe wa baraza.

Aidha ukisoma kwa makini hukumu hizo, unaona kabisa kuwa mengine wanafanya makusudi (wakidhani Court of Appeal haitaona mapungufu hayo au ikiyaona itayapotezea kitu ambacho CA haifanyi kabisa) AU enyeviti wa DLHT hawajui sheria kuhusu hilo (which is very unlikely).

Ushauri kwa mahakama /Jaji Mkuu, let the judiciary dispense with so-called assessors and let a magistrate have full power to adjudicate the case alone or with assessors and if irregularities arise from assessors interms of composition or their involvement (maoni ya washauri wa baraza) should not be a gateway to remit the case to ground one!

Maana assessors ni washauri kama hawapo/wapo basi hakimu aendelee, after all Hakimu habanwi na mawazo yao, ila anatoa sababu kwanini hakubaliani nao. Ku remit case imefika CA kwenda chini huko DLHT ni kupoteza muda sana na fedha na haki kucheleweshwa.

Bottomline sheria irekebishwe kuhusu involvement ya assessors kiasi kwamba kesi isirudi chini ikiwa imefika HC or CA.
 
Mfumo wa sheria nchini upo hovyo sana zaidi ya sana

USSR
 
Back
Top Bottom