bonifacedean
Member
- Jul 6, 2016
- 12
- 1
UmeonaeehHuyu ndo dizain ya mashabiki wa Alikiba! Kwa style ya watu wa hivi ambao Kiba akishauriwa wanatokwa mapovu ataelewa kweli?
Ni ushauri tu wala sio amri. anaweza akauchumua ama akapotezeaLet him do what his heart desires! You can't force someone to live according to people's opinion! He is a star...YES, he has unique ways of dealing with his life....sio nyie mnataka show off mpaka shingo zinapinduka! For Christ's sake, let him be!
Tatizo ni kwamba kila akitokea mtu kumshauri jambo basi anaonekana hampendi kiba. DahUmeonaeeh
Yan ushauri tu mtu katokwa na mapovu ka nn
Ni kweli,pia Ni mzito WA kupost vitu kwenye account yake ambayo ni official,,unakuta umemfollow afu hakuna anachopost angalau uonyeshe support,,binafsi huwa nakereka,,.mimi namkubali kiba saanaa Lakini huwa anajiinua kisirisiri!!inabidi anaehusika na account yake awe active!!,kama ile show alofanya Kenya ilipostiwa kikawaida Sana,,[/QUOTE]Niaje washkaji zangu.? Leo nineona bora nimshauri jambo moja kubwa na la msingi sana Alikiba a.k.a mzee wa #aje.
Naamini hata nyie humu wengi mtaniunga mkono.
Msanii mkubwa kama Alikiba mambo yake mengi anayofanya kwenye sosho media yanaonekana Duniani kote kwa sababu anamashabiki Dunia nzima. Tatizo linakuja katika Picha zake na Video anazoposti kwenye soshomedia hazina kiwango kama yeye alivyo na kiwango. Picha zake na video nyingi zinapigwa ama "Kushutiwa" kwa simu ya mkononi. Msanii kama Kiba anatakiwa awe na Mtu/watu maalum ambao watakuwa wanahusika na Picha na Video zake. Natumaini Soon Sony music wataliona hili na watalifanyia kazi. Kwasasa msanii wetu huyu yupo katika ramani ya dunia kwahiyo hana budi kufanya kazi zake "Kiprofeshno" Zaidi.
Nawasilisha kwa hisani ya #mckonjetv