Ushauri kwa Kituo cha KBC katika kipindi hiki cha Uchaguzi wa Marudio

Ushauri kwa Kituo cha KBC katika kipindi hiki cha Uchaguzi wa Marudio

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,575
Kuna watanzania wengi tunapenda TBC, imesaidia kueneza Kiswahili.

Nashauri KBC wajifunze kwa TBC kipindi hiki kigumu. Wapige miziki ya Amani kipindi hiki ; wasionyeshe matukio yasiyo na nasaba ya utamaduni wa Kenya. Sipendi CITIZEN hawachuji habari
 
Kama unataka habari zilizochujwa tazama tv za Kenya ukiwa umefumba macho.
 
Kuna watanzania wengi tunapenda TBC, imesaidia kueneza Kiswahili.

Nashauri KBC wajifunze kwa TBC kipindi hiki kigumu. Wapige miziki ya Amani kipindi hiki ; wasionyeshe matukio yasiyo na nasaba ya utamaduni wa Kenya. Sipendi CITIZEN hawachuji habari
Who are you??
 
Mi wakenya huwa siwaelewi kabisa, TV zao kuchuja habari sahau mkuu hawa watu wapo straight.
Wakenya wanawezana wenyewe kuna saa wanachemshana mpaka unaona kabisa zinapigwa lakini wapi, watu wagumu sana kuwaelewa usikose kwenda kufanya biashara nairobi ukihofia maandamano , pale cbd biashara kama kawa kinachoonekana kwenye TV ni tofauti na hali yenyewe pale
 
...Na kwa nini habari ichujwe? Karne hii kweli unaongelea kuchuja habari wakati social networks zinarusha live clips?
 
Vizuri maandamano yafanywe nje ya mji au Mashambani,au Viwanja vya wazi hata mwaka mzima maana kule kuna nafasi kuliko city center yanazuia kazi za wengine wasio husika
 
Churchill show ya jana NTV alikuepo bob owino. Sipati picha kama ingekua tz angepewa airtime.
 
Back
Top Bottom