Who are you??Kuna watanzania wengi tunapenda TBC, imesaidia kueneza Kiswahili.
Nashauri KBC wajifunze kwa TBC kipindi hiki kigumu. Wapige miziki ya Amani kipindi hiki ; wasionyeshe matukio yasiyo na nasaba ya utamaduni wa Kenya. Sipendi CITIZEN hawachuji habari
Wa Kenya au Tanzania?CITIZEN
Ukiona hivyo ni mwana CCM huyo.Who are you??