Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
wameshakusikia wenzako mbeleko fc!!![emoji57]Ingawa mimi si mwanachama wa Yanga,ni mshabiki wa Yanga. Natoa ushauri kwa Klabu hiyo. Ni ushauri wa tahadhali.
Yanga ipambane ishinde mechi zote mbili zilizosalia. Alama tatu zinazobishaniwa na Simba bado hazitabiriki. Zaweza kurejeshwa kwa Simba
Yanga inapaswa kuizidi alama tatu Simba. Ili kikitokea cha kutokea,ubingwa wa Yanga uwe salama.
Ni hayo tu.
Ahaaaa, eti mbeleko FC.wameshakusikia wenzako mbeleko fc!!![emoji57]
Asante Mheshimiwa. Ndiyo hesabu yetu.Ingawa mimi si mwanachama wa Yanga,ni mshabiki wa Yanga. Natoa ushauri kwa Klabu hiyo. Ni ushauri wa tahadhali.
Yanga ipambane ishinde mechi zote mbili zilizosalia. Alama tatu zinazobishaniwa na Simba bado hazitabiriki. Zaweza kurejeshwa kwa Simba
Yanga inapaswa kuizidi alama tatu Simba. Ili kikitokea cha kutokea,ubingwa wa Yanga uwe salama.
Ni hayo tu.
Umeelewa lkn alichoongea mtoa mada? khofu yke km simba wakirudishiwa zle point 3 itakuwaje? so ili kumaliza mzizi wa fitna ni lazma yanga ashinde mechi zke zote mbili lengo ampite simba point 3 ili hata ikitokea simba akarudishiwa zle point tuchukue ubingwa kwa uwiano mzuri wa magoli ya kufunga na kufungwa!Hata wakimaliza kwa point sawa yanga itakuwa bingwa tu,kutokana uwiano wa magoli ya kufunga na kufungwa
Hivi hii pointi ya Yanga kununua mechi au kuhonga waamuzi timu zingine hazina uwezo huo? Lakini ukiangalia mwaka huu Yanga ilikuwa na kipindi kigumu kipesa sasa hiyo pesa ya kuhonga waamuzi au kununua mechi ilipatikana wapi iwapo mishahara ilikuwa ikilipa wachezaji kwa shidaMpira wa nchi hii hautakua kama kuna timu zinapata ushindi kwa kununua mechi na kuhonga marefa na kusaidiwa na TFF, Yebo ni kirusi katika soka la bongo..
Mikia mnalalamika sana,kwani ligi si mlikua mnaoongoza nyie tena kwa tofauti ya point kibao?nani alizipunguza hadi kuzidiwa?mkifanya ujinga wenu mnaililia YangaMpira wa nchi hii hautakua kama kuna timu zinapata ushindi kwa kununua mechi na kuhonga marefa na kusaidiwa na TFF, Yebo ni kirusi katika soka la bongo..
JF haitakuwa na heshima kama kuna wachangiaji watakuwa wanatoa shutuma nzito dhidi ya wengine bila ya kuonesha ushahidi usio na shaka. Hoja zisizo mashiko ni kirusi kwa mustakbali wa JF.Mpira wa nchi hii hautakua kama kuna timu zinapata ushindi kwa kununua mechi na kuhonga marefa na kusaidiwa na TFF, Yebo ni kirusi katika soka la bongo..
Simba km mtoto wa Kambo tu, hata humfanyie nini lazima atalalamika tu.Hivi hii pointi ya Yanga kununua mechi au kuhonga waamuzi timu zingine hazina uwezo huo? Lakini ukiangalia mwaka huu Yanga ilikuwa na kipindi kigumu kipesa sasa hiyo pesa ya kuhonga waamuzi au kununua mechi ilipatikana wapi iwapo mishahara ilikuwa ikilipa wachezaji kwa shida
Ingawa mimi si mwanachama wa Yanga,ni mshabiki wa Yanga. Natoa ushauri kwa Klabu hiyo. Ni ushauri wa tahadhali.
Yanga ipambane ishinde mechi zote mbili zilizosalia. Alama tatu zinazobishaniwa na Simba bado hazitabiriki. Zaweza kurejeshwa kwa Simba
Yanga inapaswa kuizidi alama tatu Simba. Ili kikitokea cha kutokea,ubingwa wa Yanga uwe salama.
Ni hayo tu.
Wewe acha maneno, kule Mbao ulirusha salio kwa kipa.Mpira wa nchi hii hautakua kama kuna timu zinapata ushindi kwa kununua mechi na kuhonga marefa na kusaidiwa na TFF, Yebo ni kirusi katika soka la bongo..