Paka a.k.a manunu fc safari hii siwaoni kabisa wakitaja idadi za magoli ya kuifunga Yanga kigoma 😂Tarehe 14 July,2021 na Ihefu
Tarehe 18 July, 2021 na Dodoms Jiji
Tarehe 22, July na CAS
Terehe 25, July na Paka Fc, Tunatangaza ubingwa
angalau sasa hivi mnajitokeza kama Yanga,kabla mlijificha kabisaJumatano si tunacheza?
Wazo zuriTafteni mechi moja ya fitness ili tarehe 25 tusipoteane.
Wenzetu Simba tangu tucheze wana mechi ya pili leo wakati sisi tumepumzika wiki nzima sasa tunaburudika na kuoga noti za GSM.
Mfikishieni ushauri huu kocha wetu mahiri Nabi.
Ni hayo kwa leo, zingatieni maana naona hatari ya kukata pumzi Mapema.
Kuna chama,kuna Miqissom, Kuna kagere, kuna Boko, kuna shabala, kuna kapombe, maza fantaPaka a.k.a manunu fc safari hii siwaoni kabisa wakitaja idadi za magoli ya kuifunga Yanga kigoma 😂
Siku ile ya kimoja cha nguruwe hawakuwepo?Kuna chama,kuna Miqissom, Kuna kagere, kuna Boko, kuna shabala, kuna kapombe, maza fanta
Jana nimemsikia Mwigulu Nchemba Sport Xtra akidai Mzee Mpili ameshatangulia Kigoma
[emoji23][emoji23][emoji23] yule msemaji wao lopolopo anawadanganyaga sana manunuKuna chama,kuna Miqissom, Kuna kagere, kuna Boko, kuna shabala, kuna kapombe, maza fanta