changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Ikiwa ndio pazia ya ligi kuu Tanzania bara likiwa linaelekea ukingoni kwa michezo kadhaa kusalia, huku Yanga ikiongoza msimamo napenda kutoa ushauri kwa benchi na uongozi wa Yanga kutafuta mechi kadhaa za kirafiki ili kuepuka wachezaji kutokuwa na match fitness.
Hii ni kutokana na ratiba ya mechi inayofuata kupangwa mbali sana kuna takribani siku zaidi ya 20 timu inakaa pasipo kucheza mcheza wowote ule wa kimashindano jambo ambalo ni hatari sana kwa wachezaji, huku wapinzani wao wakiwa na ratiba ya michezo ya klabu bingwa.
Mechi inayofuata ni muhimu sana kwa Yanga kuongeza wigo mpana wa point baina ya wapinzani wao hivyo hapaswi kupoteza bali ni ushindi ndio jambo litakalorahisha ubingwa msimu huu.