Ushauri kwa madaktari: Mkoloni alitumia "divide and rule" kuweni macho

NGONYA NM

Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
39
Reaction score
15
Salaam wana jf. Naomba kuwasilisha kwenu mada hyo iliyoko kwenye mfumo wa ushauri.

Utawala wa mkolon ulitumia mbinu ya " wagawe kisha uwatawale" kwa mazungumzo ya mtoto wa mkulima na serikal yake anataka kuwagawa madaktar kisha awatawale. Ndg zangu wanataalum lolote mtakalofanya bila kwaumoja litamgharimu mmoja mmoja. Kama maji mlishayavulia nguo nilazima myaoge.

Ni kwel ndg ze2 wanapata shda kwamgomo wenu lkn serikali ya tz haiwez fanya kaz bila mashinikizo! Sio madaktar tu wamegoma Angalia matokeo ya mitihan inayofanywa utagundua WAALIMU NAO WAKO KWENYE MGOMO BARIDI ambao nihatar kuliko hi migomo ya waz kama wamadaktar.

NAWASHAURI MADOKTA WASHKAMANE HD DK YAMWSHO LA SIVYO WAKIKUBALI KUGAWANYWA WAKUBALI PIA manyanyaso. Ni lipi bora wawepo kazin kama picha kwakuwa wamelazimishwa au busara itumike kutatua huu mgomo? Kaz kwako mtoto wamkulima naserikali yako!
 
Mkuu,
Mgomo wa Matabibu wetu ungefaa umtie wasiwasi kila mmoja wetu ambae akili zake ni Timamu!
Kuwaunga mkono huku ukiwa umefumba Macho si jambo sahii!
Wewe na Matabibu/ Madaktari mnawajibika kuangalia picha kubwa iliyopo mbele yanu: Wananchi Wanyonge, Dhalili na waliochoka hata kabla Hawajaugua na wengi wao wakiwa hawana Kipato kabisa kwa kukosa Ajira, Ajira ambayo wewe Daktari sasa hivi unaitumiaa kama silaha ya kumdhalilisha Mwananchi Mwanzako kwa kuangalia tu, Maslahi ya TUMBO lako Hii ni Aibu kwa Profesion/Taaluma mnayoitumikia!
Naamini mgomo huu hauna sababu yeyote ya maana kuwepo na unatuonyesha ni kwa kiasi gani kwenda Shule na kubeba Shahada za juu hakuondoi UJINGA kwa baadhi yetu na kuthibitisha kuwa kuna WAJINGA wa kuzaliwa.(na pengine Madaktari wanaogoma na wale wanaowaunga mkono wamo katika kundi hilo).
 
Back
Top Bottom