Mimi naweza kukaa miezi sita sijanywa maziwa. Siyapendi tu.Wabantu wengi tuna lactose intolerance. Maziwa yanatuzingua.
Mi mwenyewe Mmoja wapo kwenye Hilo,huwa nakunywa pale nitapotaka kuvuruga tumbo au kutapika!!!Wabantu wengi tuna lactose intolerance. Maziwa yanatuzingua.
Sasa hiv kluna jamaa wa iringa wana chupa zao mtindi upo kama maini mtamu balaa. Wanajiita mbombo sijui .shida hawana advertising. Sijui kwanin labda hiz position wanazishika wanafamilia unakuta hana elimu ya marketingHivi Tangafresh bado ipo? Ile ndio ilikuwa mtindi OG
Mtindi OG unaujua..??Hivi Tangafresh bado ipo? Ile ndio ilikuwa mtindi OG
SIjakupinga hilo mkuu ila atleast Tanga Fresh Quality yao ni nzuri tokea enzi! Siku hizi hayaonekani au uzalishaji ulisimamaMtindi OG unaujua..??
Hakuna kampuni inayozalisha na kuuza maziwa OG bila kuchakachua
Jamii za kimaskini msilazimishe kunywa maziwa. Waachieni Wasukuma na Wamaasai!Mi mwenyewe Mmoja wapo kwenye Hilo,huwa nakunywa pale nitapotaka kuvuruga tumbo au kutapika!!!
Wacha hizo! Tanga fresh, Asas, Kahama Fresh hawa wana mtindi OG kabisa umetoka kwa ng'ombe kabisa!Mtindi OG unaujua..??
Hakuna kampuni inayozalisha na kuuza maziwa OG bila kuchakachua
Hii imeishakuwa common knowledge mkuu. Wabantu zaidi ya asilimia 70 hatuwezi kumeng'enya maziwa. Tukinywa tunaharisha, tumbo linauma, kichefuchefu nk. Wengi unakuta wanaepuka maziwa kwa ajili ya hizi ishu.Based on which research of yours to come up with such conclusions. What was your sample study? Which methodology did you apply?
🤣🤣🤣,haya bhana mi zangu gambe na mpepe tu hayo mengine nadra sana!!!Jamii za kimaskini msilazimishe kunywa maziwa. Waachieni Wasukuma na Wamaasai!
Sure,mi ni Mmoja wao!!!Hii imeishakuwa common knowledge mkuu. Wabantu zaidi ya asilimia 70 hatuwezi kumeng'enya maziwa. Tukinywa tunaharisha, tumbo linauma, kichefuchefu nk. Wengi unakuta wanaepuka maziwa kwa ajili ya hizi ishu.