Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
1. Mteue Makonda kuwa waziri wa mambo ya ndani. Nakuapia vibaka wote, hawa panya road hadi wale wanaowaibia wazungu huko nje kwa kofia ya siasa wataacha. In fact, watapigwa marufuku hata kwenda huko kiholela.
2. Mrejeshe Kalemani kwenye wizara. Yuko smart yule mtu.
3. Fanya kitu hapo Jangwani papendeze bwana. Tunashindwaje na Rwanda?!!!!!! Hiyo legacy si ya nchi hii.
4. Tenganisha hizi barabara kuu zote Ili magari yasiwe yanapishana. Utapunguza ajali hz za kijinga na utakuwa umeendelea kuupiga mwingi kweli kweli.
5. Amuru posho ya mazingira magumu kwa walimu wote wa mazingira magumu. Dar Es Salaam hakuna. Hapo hakuna walimu wanaofanya kazi.....hapo wanajipigia Hela tu. Makazini kwenyewe wengi wao ikishafika saa 5 hawapo. Huko Lindi, tena manispaa kabisa, Kuna shule Zina walimu watatu, wanne, watano tena ni nyingi tu.
Itaendelea.......