LAKINI JINA LAKE NI HALISI SIO LAKUNUNUA KAMA.............Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?
Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Hawa ndo wale wanaotafutwa na kigwangalOhoooo!!!pitia hizi post zake hapo chini kuna kitu utabaini[emoji116]
Unamaanisha unapumuliwa kama daud bashite?Eeh, hujui kama Mimi starehe ya baba ako?
Naona unataka kuvuliwa Nguo hadharani.....kama upo tayar kwa pambano na huna woga mfate insta.....otherwise utakuwa unamwogopaAnaogopwa makonda peke yake,chezeya central weye
Mi nakushauri uachane na huyu Dada!! Coz unavodai hana kazi ...Yes might be but swal n Je kama ww ungeweza kuishi marekani bla kazi bora tz unaweza unaweza hata shindia mapera!!...Unajuaje anakaz za online,au anafanya online market ,teaching or something else that don't need person Physical in a field!!... Bila shaka naww utanzania umekufanya akili yako ishindwe kwenda na technology na mabadilko ya kidunia au hujajua dunia ilipofikia !!.... Elewa kuna watu wanaingiza kipato kikubwa just for advertisement on net kwa kutumia sim au computer huku wamelala home!!..wake up !!...Hatutaki Akili mgando!!....Umpe onyo lakin usikalili kaz lazma iwe ya kwenda physical or ya kutumia vyeti!!....shule lengo lake siyo kutufanya employed bt capable of anythingKwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?
Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Una cheti original???Huyu ana stress za talaka. Anamchukia kila aliyemzidi. Huko Marekani anakazi ya kulea tu watoto na kusubiri child support halafu kutwa anapiga makelele na Makonda.
Hana shida na mtu ila weka cheti original uendelee na busness zakoMange Ana wivu, yupo US ila maisha magumu, akioma wabongo wanafanikwa mapovu yanamtoka, atajiju c alijua Us ni mbinguni
Amfuate Instagram kwani hamjui? Huyo Mange mwenyewe kapinda mpaka kiuno, atampa matusi mpaka akome.kamtafute page yake ya ista na usisahau kumtag daudi
Ohooooo!!!Hawa ndo wale wanaotafutwa na kigwangal
Duh!!![emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]Unamaanisha unapumuliwa kama daud bashite?
Ohooooo!!!Kumbe jamaa choko....ro
Atakuwa na jinsia mbili huyu sio bureMbona unazidi kunichanganya? 2013 uliandika kuwa wanaume siku hizi nyie ni wambea sana hapa tena unasema wewe ni mama.
Aisee jamani nisaidieni au huku JF kuna majini 12[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sidhani sana kwanini nidanganye kuhusu mange ambaye hata jina langu tu hajawahi kulisikia. Btw hata ulivyojibu hapo imeonesha wazi hujaelewa nilichosema. Masuala ya kudhaminiana yanaingia vipi kwenye blog?Dola my foot, kawadanganye mitambo wenzio, nilikua miaka hyo, hakuna mtu mwenye akili timamua akamdhamini huyo msukule