Ushauri kwa Mange Kimambi

Sasa umetuma huu ujumbe huku unauhakika kama aingiaga humu jamii forum? Ingefaa ungeenda istagram angekupata kwa wepesi

Sent from my TECNO-A7 using JamiiForums mobile app
 
Wapambe wa bashite bwana... Does that justify the end... Mara mia aliyerudia darasa kwa jina la drop out kuliko aliyetumia cheti cha mtu mwingine kupata admission
 
Post ako haina mashiko mkuu, sijui hata uliwaza nini! Bila Mange kuwasha uo Moto ungemjua Bashite wewe?
 
nakwambia embu jarib kumfata kwenye post...zake kama hutamjua babu alie mzaa bib wa bibi wa bib ako mzaa babu yako
 
Well said kwa kweli
Kiukweli kiongozi bora ni mkweli hafichi hadanganyi hata kwakupepesa macho.Nimatumain kwangu kuwa makonda kutokana na yaliyosemwa dhidi yake yeye atatuthibitishia watanzania kuwa yeye nimtu wakununua vyeti vya mtumwingine au laa!
Namna pekee yakuweza kufanya inchi iwe nawatu makin nipamoja na kuwa nawatu wanaofanya kazi kwakufuata misingi ama sheria yasehemu wanapo hudumia , kinyume yahapo niubatili nahatuna sababu yakumsikiliza mtu mwongo na mwovu
 
Kama yy anashinda ww unakua wapi kuona anachofanya na ww Huna Kazi NDO maana unamfuatilia. Fanya yako.
 
Jaman kiongoz mzur huzawaliwa(leader is born not made) hata kama elimu ya makonda haielew bado makonda is the best leader.kizur DC hana kiwango cha elimu knacho mlimit.

Makonda azid kuiokoa tz na mungu ampe uzma

Sent from my HUAWEI Y336-U02 using JamiiForums mobile app
 
Thibitisha zero yake hata kwa kuweka CV yake tu...
 
 
Inaonekana ww ndio mrs daudi bashite

Sent from my MX X3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…