Ushauri kwa Mange Kimambi

Mbona imekaa kimbea hii. Hebu tafuteni mahali pake hii post. Mnaboa. Great thinker hawafanyi Hivi.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Taaarabu
 
Uoga n kitu kibaya Sana, nenda pale insta kamwambie hivyo
kule hutakiwi kumkosoa,utakula block inayoambatana na matusi ya kila aina😀
Na mbaya zaidi unaweza kuikuta picha ya mama yako pale ndio akiogeshwa mitusi.
 
Ivi ni nn faida ya huyo mtu anaye sema mambo kama yanamuuma vile,,, kama vip aje ndani ili harakati zake na mazur anayojua anayo tuyaone.

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Achana na Mange, huna ushauri wa kumpa.....labda na ww unatafuta kiki ili akuweke Instag
 
Mmmh
 
Ulidhani kuishi US ndo utakua unaogopwa, Lulu tu anakutoa nishai umfikii hata unyayo, sasa makonda utamuweza kwa maisha yake? Atakulelea wewe na familia yako mwaka mzima awalishe
Wewe na Kimambi nani zaidi?

Una lipi hasa unalomshinda Mange?

Je ushawahi kwenda hata China tu mbali na US?

Amekuzidi elimu,kakuzidi pesa ,yani kakuzidi kila kitu yani so naona kama unatafuta kiki kupitia Mange
 
Wewe mbona unakesha humu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…