Ushauri kwa Mange Kimambi

Mbona yeye anawatukana watu akiwa IS si aje bongo kuwatukana huku kama hawajamkeketa makalio, mxieee anaogopwa bashite peke yake mwenye dola yake sio huyo kahaba mwendo kasi

Hahaha mtatokwa povu, mtalia sana, mtazunguka makanisa yote na misikiti Bashite tunayeeee.

Chezea nguvu ya Mange Bashite kakimbilia south
 
We umbwa kama unampenda nenda kwenye page yake sio humu chizi wewe, mange my foot, anakuleteaga chakula tuondolee usukule wako
Wewe mbona ushauri wako kwake umeuleta humu badala ya kumweleza kwenye ukurasa wake wa IG? Wewe binti hamnazo,team zero mnashida sana.
 
Wewe mbona ushauri wako kwake umeuleta humu badala ya kumweleza kwenye ukurasa wake wa IG? Wewe binti hamnazo,team zero mnashida sana.
Nilimchamba akaniblock, nadhani ananiogopa
 
Pole umechomwa?
 
kamtafute huko insta uone atakavyokuchambua na familia yako hadi marehemu atawanyoosha.
 
Mkubwa kwa nini usimfuate kwenye page yake maana na namba za simu huwa anatoa ili umwambie huu ujumbe. Hapa ni kujionesha umetumwa tu. Huna jingine.
Pia huenda wewe ndio unaidhi kama digidigi sio yeye. Maisha ya mtu anayajua yeye mwenyewe. Na usifananishe yako na yake hivyo huwezi kuyasemea. Huu ni umbea unaleta huku.
Acha umbea. Kama una ushauri upeleke kwa mhusika peke yake. Labda liwe suala la kitaifa
 
Acha kuleta porojo, moja ya qualification ya uzalendo ni kuchukia UOVU ktk serikali, Dada Mange yupo sahihi, hatuwezi kuwa na taifa ambalo linaongozwa pasipo kufuata sheria na taratibu za nchi, kikubwa jamaa wa kolomije ajitetee mwenyewe. HATUWEZI KUONGOZWA NA VILAZA.
 
Dumb fact[emoji24]
 
Kazi yake ndo hiyo ya insta, kwani hujui ana "kazi: gani? Hiyo ya insta, ndo yake....kuwapuumbaza watz walioko ktk social networks Kwa vistori vyake,ni teammoviechangers
 
kwel nimeamin wajinga wote wapo kata moja! sasa nyie mnatoa ushaur kwa mange kama nan kwenu? na nyie mnaomshaur nadhan hamna kazi ya kufanya, yale ni maisha yake binafs ivyo faida au hasara ya anachokifanya anajua yeye mwenyewe! inaonekana hata ninyi mmekosa kazi ya kufanya na ndio maana mnatumia muda wenu kumuandikia mtu mzima ambaye anafaham nn anafanya! fanyen yenu jaman msifuatilie maisha binafs ya mtu, kama hana kazi ya kufamya mna mlisha nyie?
 
JIWE GIZANI, POLE SANA
 
Mnaumia sana kuona mr.F7 anavyooneshwa rangi za kila namna.

Mwambieni jamaa yenu Aaache daharau, alimdhalilisha sana yule mama wa ardhi ila mlikaa kimya Acheni leo asomeshwe namba.

NB: Kutumia cheti cha Magumashi ni kosa kisheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…