Ushauri kwa Mange Kimambi

talking rubbish!
 
Na wewe unaonekana huna kazi ya kufanya umejuaje kama yeye yupo instagram muda wote??
 
Huna jipya mamluki
 
We naye unataka kutukanwa tu
 
Lakini huyu Dada siyo mtumishi wa umma wala hajaomba kazi hiyo, unataka aonyeshe vyeti kwa nini? OK, nani alianzisha huo uhakiki wa vyeti.
 
Dada yako ni mama yako, achana na huyu mwanamke makini na msema kweli.
 
Hivi wewe warumi una undugu na Zamaradi Mketema? Halafu mbona hii ishu ya Makonda inaonekana imekugusa kipekee hadi humu ndani umeshupaza shingo kumtetea hadi unaporomosha matusi kwa watu bila ya sababu? Unatakaje watu watoe ushahidi zaidi ya huu uliotolewa kwa kutaja majina ya watu waliosoma na Daudi Bashite toka Kolomije hadi Pamba Sekondari?
 
Ukiboko wa mange ukowapi. You guys mnakuwa negativity always. Nchi haiweziendelea kwa maneno yenu. Mvunja nchi ni mwananchi na mjenga nchi ni mwananchi. Rais hawezifanya kazi peke yake na maendeleo yakaja tanzania. Inatupasa wote tushiriki kuinua uchumi wa taifa letu. Sasa mnapojitokeza na kuanza kumsifia mtu anayeishi marekani na anatukana nchi yetu, binafsi nawaona nyie ni punguani msio na akili timamu. Mnajua tread zinasomwa na watu wa nje pia. Wanaozisoma wanatuona sisi majinga vilevile. Pia msijidanganye kwamba hawezi kukamatwa. Majeshi ya dunia yana ushirikiano kama ikionekana kuwa anatakiwa kuja kujibu hoja huku basi tanzania itaomba raia wake aletwe huku na atakamatwa hukohuko na akaletwa kushtakiwa huku.
 
bashite ni wengi, ndio nini umeongea.
 
we jamaa kumbe una mdomo mchafu kiasi hiki jaribu kujibu vitu kwa hoja wacha kuwa na jazba wanaume halisi hatuko hivyo usirudie kosa 2020 wewe kijana mwenzangu
Mtaishia kunawatu 2020 sioni mtu mwingine anayeweza kuiongoza hii nchi tofauti na magufuli. Subirini iajenge nchi then akitoka aje majaliwa, na baada ya hapo tutawafikiria
 
kwamba huku ndo sehem ya kuja kumshauri au instagram yake huijui
 
Mtaishia kunawatu 2020 sioni mtu mwingine anayeweza kuiongoza hii nchi tofauti na magufuli. Subirini iajenge nchi then akitoka aje majaliwa, na baada ya hapo tutawafikiria
tuweke ushabiki pembeni niambie mpaka sasa kuna project gani kubwa imeshafanywa zaidi ya project ya kutumbua tumbua maadui? project zote zinazoendelea now nchini mchakato wake ulianzishwa na serikali ya jk
 
ungekuwa kipofu kweli ningekubishia...ila kama hauoni na una macho ni bora yapofuliwe tu.
 
Mwambie huyo

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Wewe kweli akili imeganda au mahaba kwa Bashite yamezidi.
 
ungekuwa kipofu kweli ningekubishia...ila kama hauoni na una macho ni bora yapofuliwe tu.
hamna project yeyote mpya kama ipo si ingeonekana? project zote za sasa ni za jk na ndo bado zinaendelea. nothing new. kama zipo taja acha ubishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…