Danthedon
Member
- Feb 29, 2016
- 84
- 52
Wewe umejuaje anashinda Mitandaoni kila siku kama nawewe humtembelei huko kila siku? Basi nyie ni ngoma droo. Na kinachokufanya kila siku umchunguze ni kitu gani? Lazima kuna mahali anagusa interest zako maana sijawahi kuona siku Mange amepost kuwa anaomba mchango kwa ajili ya matumizi yake kitu ambacho kingetuhakikishia kuwa labda hafanyi kazi alafu anaomba. Sasa mtu kama anamudu maisha yake wewe kinakuuma nini akishinda na hata akiamua kulala mitandaoni? Wewe mwenye kazi unapata wapi mda wa kujua kuwa Mange kila siku yuko mitandaoni si uwe busy na kazi zako? Huwezi kujua Imamu Juma ndie anaeswalisha msikiti wa Ijumaa kila siku ikiwa wewe sio muumini wa msikiti huo ndugu.Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?
Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
KAJIPANGE UPYA UKIRUDI UJE NA VYETI.