USHAURI: Kwa matokeo haya nisome kozi gani?

Texaz

New Member
Joined
May 15, 2022
Posts
3
Reaction score
2
Ufaulu wangu wa kidato cha 4 ni B Kiswahili, zilozobaki zote D isipokuwa Math na Phys ni F na Chem D

Nishaurini nikasome kozi gani ngazi ya Ufaulu wangu wa kidato cha nne.
 
Kapige pharmacy diploma ila kwa alama hizo utapata private tu maana serikali ushindani mkubwa mkuu.
 
Back
Top Bottom