Texaz New Member Joined May 15, 2022 Posts 3 Reaction score 2 May 30, 2022 #1 Ufaulu wangu wa kidato cha 4 ni B Kiswahili, zilozobaki zote D isipokuwa Math na Phys ni F na Chem D Nishaurini nikasome kozi gani ngazi ya Ufaulu wangu wa kidato cha nne.
Ufaulu wangu wa kidato cha 4 ni B Kiswahili, zilozobaki zote D isipokuwa Math na Phys ni F na Chem D Nishaurini nikasome kozi gani ngazi ya Ufaulu wangu wa kidato cha nne.
Chief_mataka Member Joined Jan 27, 2022 Posts 97 Reaction score 95 May 30, 2022 #2 Kabla ya kupata ushauri wewe mwenyewe una malengo gani ?
Ryder2 Member Joined Sep 11, 2021 Posts 81 Reaction score 88 May 30, 2022 #3 Texaz said: Ufaulu wangu wa kidato cha 4 ni B Kiswahili, zilozobaki zote D isipokuwa Math na Phys ni F na Chem D Nishaurini nikasome kozi gani ngazi ya Ufaulu wangu wa kidato cha nne. Click to expand... Kapige pharmacy diploma ila kwa alama hizo utapata private tu maana serikali ushindani mkubwa mkuu.
Texaz said: Ufaulu wangu wa kidato cha 4 ni B Kiswahili, zilozobaki zote D isipokuwa Math na Phys ni F na Chem D Nishaurini nikasome kozi gani ngazi ya Ufaulu wangu wa kidato cha nne. Click to expand... Kapige pharmacy diploma ila kwa alama hizo utapata private tu maana serikali ushindani mkubwa mkuu.
Texaz New Member Joined May 15, 2022 Posts 3 Reaction score 2 May 31, 2022 Thread starter #4 Ryder2 said: Kapige pharmacy diploma ila kwa alama hizo utapata private tu maana serikali ushindani mkubwa mkuu. Click to expand... Kama chuo gan kwa hapa dar
Ryder2 said: Kapige pharmacy diploma ila kwa alama hizo utapata private tu maana serikali ushindani mkubwa mkuu. Click to expand... Kama chuo gan kwa hapa dar
Texaz New Member Joined May 15, 2022 Posts 3 Reaction score 2 May 31, 2022 Thread starter #5 Chief_mataka said: Kabla ya kupata ushauri wewe mwenyewe una malengo gani ? Click to expand... ICT