mwambie huyo boyfriend wake amnunulie mama mkwe tekno wereva sh.67,500/= tuKuna mdada mmoja yuko Arusha aliniomba ushauri kuwa mama yake mzazi hampendi na hamtaki Boyfriend wake.
Na sababu kubwa ni kuwa huyo boyfriend alimpromise mama mkwe kumnunulia simu ya dhaman kubwa sana na hakutekeleza sasa mama anataka bint yake aachane na huyo kijana kwa njia yoyote ile so anaomba ushauri
Na mm nikaamua kuleta hapa ili apate ushauri mwingi zaidi