Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 988
Napenda kumshauri kada huyu wa CCM ambaye alitumia nguvu nyingi sana kumtetea ole Sabaya kwakua walikua ni genge moja, ametishia sana watu na kujiona kua yeye ndio chama na yeye ni kila kitu.
Asome alama za nyakati, kuishi kwa kutegemea kuumiza wenzako laana ya Mola haitakuacha salama. Tena ana bahati huyu mtu alitakiwa naye awe ndani. Kutwa nzima alikua akimtetea Sabaya anajua walichokuwa wanakifanya.