Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Mtandao wa X haupaswi kufungiwa kama Watanzania wanavyodai hii ni kwasababu zifuatazo
1:Mtandao wa X unatumia teknolojia ya Algorithm inamaana kwamba mtumiaji hawezi kuona maudhui ambayo hayafuati yeye au hayatazami au kuyatafuta yeye ndani ya mtandao huu ndio maana yapo makampuni, taasisi na viongozi wakubwa wa nchi na dini walioko ndani ya mtandao huu na hawaoni haya maudhui kwasababu wao hawayatafuti
Watanzania wanaoshutumu kwamba unaonesha maudhui ya ngono wao waliwezaje kuyaona ikiwa hawayatafuti wao kwa mikono yao wenyewe? Nina kila sababu ya kupingana na Watanzania wote wanaoshutumu huu mtandao na kuwaita wanafiki wakubwa waliokubuhu wameshakula sana haya maudhui sasa wamevimbiwa wanataka kupasua sahani
2:Hakuna sababu yeyote ya kufungia mtandao huu kwasababu unatumiwa na makampuni, taasisi na viongozi wakubwa wa serikali na dini hivyobasi kufanya hivyo ni kuwadhulumu