7 ELEVEN
Member
- May 29, 2017
- 74
- 138
MH. RAIS ,
Numeona nitumie jukwaa hili kukupa ushauri wangu kuhusu kupanga safu mpya ya wakuu wa Mikoa, wilaya na wakurugenzi ( DED) .
Ili ufanisi uwepo kwa serikali yako yakupasa kuondoa wachumia tumbo wote ( praise team ) ambao walikuwa tayari kujidhalilisha au kufanya maamuzi yeyote yasiyozingatia weledi au sheria ili tu kumfurahisha mwendazake! Mgongoni mwao yupo Chalamila, hapi, kihongosi, sabaya, by then alikuwa pia gambo, makonda na wengineo wa kariba hiyo.
Nakuomba utulie katika hili na wala usiwe na papara nalo, na pia usimshirikishe majaliwa - hapo utaharibu, majaliwa from my heart ni mchumia tumbo na hakufai (Mark my words Madam President), majaliwa atatumia fursa hiyo kukushauri watu ambao watakuwa royal kwake ili kujiimarisha kisiasa mikoani na wilayani kuelekea 2025 National Election! Narudia tena mama Majaliwa pia hakufai, you will remember my words later.
USHAURI:
Katika uchaguzi uliopitia kulikuwa na watumishi wa Umma wengi wenye sifa kutoka taasisi mbali mbali nchini ambao walijitokeza kugombea ubunge, hao ni watumishi tayari na wanacheki namba zao. kwa idadi nadhani hawapungui elfu saba.
Now Mpe kazi kijana wako KMK akuchambulie wenye CV zilizoenda shule na wasomi wasio na mashaka only PhD holders and Master degree holders kutoka kwa hao waliogombea / public servants only ili kutoongeza mzigo Serikalini.
Wachuje/ chekecha kupitia CV na exposure zao kisha wape majukumu. Nakuambia hutojuta Mama President.
I will come later for more advice on this matter.
THANK YOU in advance.