Ushauri kwa Serikali: Ajira za mkataba ndiyo suluhisho pekee la uhaba wa ajira nchini

Ohooo, izo stress za ajira kaka
 
Mnhhh, hio million 70 inatoka wapi?? Au ume assume kila kitu nitakua constant? Hakuna ada za watoto,usafiri, chakula etc Anyway siku ambayo Tanzania inaweza kumpa kila mtu million 70 ndio siku ambayo Tanzania hakuna matatizo yoyote ikiwemo ukosefu wa Ajira!,

Pia sio wote wana utaalamu wa kujiajiri, mfano ni wastaafu, ni wangapi baada ya kupewa pensheni wameweza kuishi bila kutegemea ndugu? How long pension zao zili last au kufungua biashara??, kwa hio unaona ishu sio kupata mtaji,Ishu ni kujua kujiajiri na sio wote wana ujuzi huu,,,mnacho suggest ni kama WOTE tujiari jambo ambalo haliwezekani, ,

Kuhusu cheti bila senti 5 hili ndio tungepaswa kudiscuss na kubuni njia za kusaidia , sio kunyang'anya kazi wengine huwezi kutoa depression kwa huyu halafu umpe mwingine, no, haliko sawa, badala ya kupandisha mishahara mpaka million 70 kwa nini fungu hili hili lisitengwe kiasi kusaidia graduates wapya kujiajiri? Huoni this is more feasible than causing chaos/depression/job insecurity????
 
Mimi siko kazini serikalini nfact ni jobless ila unaonekana unajua upotevu wa ajira unaweza kufanya mtu akaweza kupoteza maisha! Ndicho tunazungumza humu!

Biashara kumkataa graduate ndicho tunachosema humu sio kila mtu ataweza kujiajiri, una million 2 au 7 it doesn't matter, Kuna walioanza na million 2 wakafanya makubwa tu
 
Atawazia mambo yake ndio
Ila kazini yupo mda mrefu na yeye ana moyo kwa hiyo vitu vya uongo na kweli atafanya πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Si unaona hata viongozi wetu wanapiga lakin panadol angalau hazikosi hosp kutupoza maumiv ya kichwa
 
Mkuu hivi unadhani kwa nini serikali haiajiri ?
 
Miaka Mitano Inflation Ya Pesa Yako Itakuwaje. Umesave Mil 1 kila Mwezi je Hiyo Mil 1 itakuwa na Thamani sawa baada ya Miaka 5. Mil 1 ingenunua Bundle 3 za Bati tuseme leo 2021 je 2026 itaweza Kununua Bati Bundle 3 au Zitakuwa Mbili na Nusu au Mbili
Kama unajua kuna inflation na itakuathiri utaanza kununua materials mapema, problem solved
 
EXPERTS NA TOP MANAGEMENT WATAPATIKANA VIPI

MAISHA YA TRIAL AND ERROR
Hao Experts na Top Management wamefanya nini zaidi ya kuwa sehemu ya wizi wa rasilimali na ufisadi kama tuonavyo sasa.

Waziri mkuu na mkurugenzi ambaye ni expert wanashirikiana kutengeneza deal la kuiba mabilioni. Do we need those kind of people for so long? Mtu anaizoea ofisi anaanza hujuma sababu tu mkataba ni wa kudumu kama ndoa ya kiroma.
 
Acha ujinga wewe!!! Kwa mishahara hii ambayo haikidhi hata gharama za maisha ya kila siku matokeo yake Wafanyakazi wana madeni kila kona? Tia akili kichwani. Hakuna ujinga kama huu mahali popote pale duniani.
Mkuu nimezungumzia malipo ya 5 millions kila mwezi ambayo is enough kwa maisha ya kawaida kwa uchumi wa sasa. Watumishi wanaolipwa hio hela wanaishi maisha mazuri sana na anasa kibao wanafanya. Kwa miaka lets say mitatu.

Utafananisha na kulipwa laki 3 kwa miaka 6O?
 
Nenda na kipaza sauti bungeni kisha uwaambie billion 50 zimeibwa ambazo zingesaidia Tatizo la ajira LOL....nchi yetu ina ukiritimba mwingi ila ambacho mna suggest hakiko valid, sio kwa nchi yetu
Uamuzi unaweza fanyika vizuri tu na ukatekelezwa
 
Wengi wao wakisitishiwa mikataba kwenye vibarua vyao huwa Wana undergo madness , halafu kujiajiri wanaongea kirahisi rahisi Tu .Sasa imagine depression wanayo undergo wasio na ajira kitaa ni ipi ?
 
Hiyo training waliyoipata na uzoefu kazini wataenda kuutumia kwenye sekta binafsi, hicho ndicho kinachofanyika Marekani ndio maana unaona watu wengi sana kwenye siasa na sekta binafsi ya Marekani ni wanajeshi wastaafu ila bado ni vijana.
Kweli kabisa mkuu
 
Wengi wao wakisitishiwa mikataba kwenye vibarua vyao huwa Wana undergo madness , halafu kujiajiri wanaongea kirahisi rahisi Tu .Sasa imagine depression wanayo undergo wasio na ajira kitaa ni ipi ?
Nape tu alivyopigwa bench alienda ikulu kwa magoti halafu mtu kama huyo azungumzie kujiajiri kirahisi tu mbaya zaidi huna mtaji
 
Hata sasa hivi kuna wanaoingia na kustaafu,kama ishu ni mitaji hio hela ambayo mnataka kuongeza kwa waajiriwa, ili wajilimbikizie ni vyema kama ingegaiwa kwa hawa wanaomaliza chuo iwe kama mitaji
Mbona kama unapinga kuondolewa kitengo kwa nguvu sana
 
Njoo nkupe pikpik yangu Mimi nataka kustaafu baada ya kuendesha bodaboda kwa miaka 5
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nape tu alivyopigwa bench alienda ikulu kwa magoti halafu mtu kama huyo azungumzie kujiajiri kirahisi tu mbaya zaidi huna mtaji
Dah ! Kitaa ni nuxsi Kaka , mi mtu anayewananga wahanga WA ukosefu WA ajira kitaa huwa namwona ni mtu WA ovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…