Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,833
- 979
Mada hii muhimu sana, haina uhusiano na kampeniKwani kampeni zimeshaanza?
Hapa Kuna mengi ya kujadili Kama vile:Ngoja wake wanaccm wakupe mawazo mazuri lakini utegemee matusi kutoka mtaa wa pili ambako arufu ya mavi imetamalaki, maana mbuzi dume sio watu!
Walimu ndio kiungo muhimu sana unapotaka kuhakikisha unainua kiwango cha elimu kwenye nchi yoyote ile. Usipowajali walimu, sahau kuhusu ndoto ya kuwa na elimu bora. Walimu ndio wapishi.Bila kuwajali walimu maslahi yao ni sifuri tu
Mawazo yako ni yapi ili yazingatiwe na chama kilichopo madarakani kwa sasa au kingine kitakachoshinda ikiwa mgombea wako hakupita?Mmeua elimu kwa mitaala yenu ya hovyo alafu leo mnajifanya mnataka mawazo?!!!
Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025 Tundu Antipas Lissu anakuja na Sera bora za kuboresha elimu yetu. Nyie kwa sababu mmeshindwa kwa miaka 59 tangu uhuru basi kaeni pembeni tu mkajipange upya
Lord Denning aione hi kwenye jalada "ni MTALAA na sio Mtaala"Mmeua elimu kwa mitaala yenu ya hovyo alafu leo mnajifanya mnataka mawazo?
Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025 Tundu Antipas Lissu anakuja na Sera bora za kuboresha elimu yetu. Nyie kwa sababu mmeshindwa kwa miaka 59 tangu uhuru basi kaeni pembeni tu mkajipange upya
Changamoto ni nyingi, nitasema mbili: lugha ya kufundishia na ushiriki hafifu wa jamii kwenye elimu ya watoto waoKabla ya sisi wengine kutoa mawazo yetu wewe unadhani tatizo hasa la elimu yetu ni nini?.
Umesema vizuri sana ila ninaomba ufafanuzi was hoja zako mbili:Elimu haijitosherezi ukilinganisha na pre independence education na miaka ya mwanzo baada ya uhuru baadhi ya mambo kadhaa:-
Watoto wengi hadi 200 wanafundishwa katika chumba kimmoja cha darasa badala ya 30 hadi 45 katika shule za msingi.
Walimu wengine ni mizigo hawafai kufundisha hata wakiongezews mshahara mara elfu.
Syllabus ni za mihemuko wakati mwingine zinakosa uhalisia.
Kuna shule nyingi siku hizi zinafundisha past papers wanatakiwa kwanza wahakikishe kama wana cover all topics za Syllabus kwa undani
Idara ya Elimu au Wizara ya Elimu imenajisiwa mara kwa mara na wanasiasa.
Mwalimu ndio mlezi wa mtoto,ana majukumu mengi kuliko mfanyakazi yeyote ukiondoa taasisi chache ambazo mtumishi hufanya masaa hadi 16 au zaidi kwa siku.Serikali iboreshe maslahi,mishahara,vivutio kwa walimu.