Ushauri kwa Serikali jinsi ya kupunguza rushwa barabarani

Ushauri kwa Serikali jinsi ya kupunguza rushwa barabarani

Marathon day

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
643
Reaction score
1,016
Police wetu wa usalama barabarani wangekua kama hivi, wanapiga picha na risiti dereva anapambana nayo kwenye system na kwenda kulipia kwa control number rushwa ingepungua sana na kuacha kujazana mabarabarani.

facebook_1714460384717_7190968049460725015.jpg
 
Police wetu wa usalama barabarani wangekua kama hivi, wanapiga picha na risiti dereva anapambana nayo kwenye system na kwenda kulipia kwa contral number rushwa ingepungua sana na kuacha kujazana mabarabarani.
exactly, kunakuwa na camera ambayo ukifanya kosa say kupishana ambapo hupashwi inapiga picha, inakwenda kwenye system pale pale unatumiwa faini kwenye simu yako. Ujinga wa ajali za kizembe ungelikoma.

Hii inawezekana maana sasa hivi idara ya maji, wanakuja kwenye mita yako, wanapiga picha meter reading, instantly inatumwa kwenye simu ya kuwa meter yako imesomwa so and so.

Picha hiyo at the same time inakwenda kwenye system za idara ya maji, then system ina calculate bill yako!
 
Back
Top Bottom