Habari wana JF wote' ili kuongeza ajira kwa serikali na kuongeza wateja kwa mashirika haya naomba selikali ijitoe kukopesha wanachuo badala yake itumie pesa hizo kutoa ajira. mashirika haya yawajibike kusomesha ili kuwa na uhakika wa kupata wateja badala ya kuitegemea selikali. makato ya gharama za masomo yataingizwa kwenye mikataba ya mashirika hayo punde watakapokuwa wameajiliwa. nashauri zoezi hili lianze kwa fani za udaktari, unesi na ualimu ngazi za cheti na diploma. ninayo mengi lakini kwa hili naamini wana jf mtanipa 5!
.
.