Khe😅Ukiijua kweli kabisa kabisa.
IDI
KRISMAS.
MWAKA MPYA.
MAULIDI.
PASAKA.
HIZI ZOTE NI SHEREHE ZA KISHETANI.
Ukiijua kweli kabisa kabisa.
IDI
KRISMAS.
MWAKA MPYA.
MAULIDI.
PASAKA.
HIZI ZOTE NI SHEREHE ZA KISHETANI.
Tufahamishe mkuuUkiijua kweli kabisa kabisa.
IDI
KRISMAS.
MWAKA MPYA.
MAULIDI.
PASAKA.
HIZI ZOTE NI SHEREHE ZA KISHETANI.
Naunga mkono hoja.Lakini pia kwakuwa kuna mgawanyiko kwa waislamu, basi ingefaa kati ya zile siku mbili zenye sintofahamu zote zikawa public holidays ili kutowanyima wengine uhuru wao wa kuabudu.
Hii serikali siyo ya kidini we ngedere. Msichomekechomeke maujinga yenu serikalini. Serikali na mwandamo wa mwezi wapi na wapi. Una elimu kiasi gani. Jiendeleze kielimu hasa elimu ya uraiaNadhani umefika wakati sasa serikali muondoe hii sintofahamu ya sikukuu za kitaifa( public holidays) haswa zinazotegemea muandamo wa mwezi.
Ni vizuri serikali (msemaji wa serikali) akawa yeye ndio anatangaza kama ni mapumziko ya kitaifa au la. Inakuwa sio vizuri/ haijakaa vizuri kwa wakristo/dini nyingine kusubiria tamko la sheikh mkuu wakati yeye sio kiongozi wao. Kwakuwa ni public holiday basi itangazwe na serikali full stop.
Lakini pia kwakuwa kuna mgawanyiko kwa waislamu, basi ingefaa kati ya zile siku mbili zenye sintofahamu zote zikawa public holidays ili kutowanyima wengine uhuru wao wa kuabudu.
Natumai mawazo yangu haya yatafanyiwa kazi.
Nawasilisha.
Sio kuangusha tu wametia aibuBakwata Wametuangusha
We ndio shetania nashangaa umejichanganyaje na sie binadamuUkiijua kweli kabisa kabisa.
IDI
KRISMAS.
MWAKA MPYA.
MAULIDI.
PASAKA.
HIZI ZOTE NI SHEREHE ZA KISHETANI.