Ushauri kwa Serikali kuhusu muandamo wa mwezi

Ukiijua kweli kabisa kabisa.

IDI
KRISMAS.
MWAKA MPYA.
MAULIDI.
PASAKA.

HIZI ZOTE NI SHEREHE ZKIvKIvula ul
Unaonaje unaandika jinsi zilivyo anzishwa na zilianzishwaje na Nani kabla ya kutoa natharia zako zenye kuonekana Ni bla bla tu' Maana unaongea kitu' kujiandikia tu acha kuwa mtu wa ovyo.
 
Hivi mufti anajuchubua au ni pesa imekubali. Jana nilimuona uso unang'aa.
 
Ukiijua kweli kabisa kabisa.

IDI
KRISMAS.
MWAKA MPYA.
MAULIDI.
PASAKA.

HIZI ZOTE NI SHEREHE ZA KISHETANI.
Kwa uewelewa wako mdogo Hapo unaona umepingana na hizo dini au umeziunga mkono

Neno Shetani ni imetokana na Dini hizo Sasa Kama unaamini Kuna kiumbe au kitu kinaitwa Shetani means unaamini hizo dini.
 
Hii serikali siyo ya kidini we ngedere. Msichomekechomeke maujinga yenu serikalini. Serikali na mwandamo wa mwezi wapi na wapi. Una elimu kiasi gani. Jiendeleze kielimu hasa elimu ya uraia
Ungeweza kutoa hoja bila kutumia maneno ya kuudhi.
Nikuulize swali, unafikiri anayepanga 'public holidays' ni nani? Mfano tungekuwa na majority ya wananchi wana imani ya ki-budha, je siku yao kuu isingeiingizwa kwenye public holidays?

NB: Kwa majibu yako, wenye kuelewa wameshaelewa elimu yako ni kiasi gani.
 
Sisi tumejiongeza leo tumepumzika tumechagua kuwa WASUNI, sikukuu inaangukiaje weekend 😅😅😅
 
Kwani Quran inasemaje?
 
We vipi? Unategemea serikali iseme nini wakati dini na siasa ni kitu kimoja? Anyway kuna mkanganyiko kuhusu ipi hasa ndiyo sikukuu na ni mapumziko ofisi hazifunguliwi, kuna wengine leo wanaswali ina maana kuna public holiday mbili leo na kesho
 
umenena vyema mno mkuu. Kesho biriani kuku njoo kwangu.
 
Wewe Inakunyimaje Uhuru Wa Kuabudu,Serikali Ina Elimu Zaidi Yako Ndo Maana Imemuachia Shekhe Mkuu Hilo swala.Dini Yetu Haibadilishwi Na Sayansi Na Teknolojia,Tuloachiwa Kwenye Vitabu Ndo Tutafata Mpaka Mwisho wa Huu Uliwengu.

Kama Hupendi Basi Jiuwe,Kwa Nini Unaipa Shingo Mzigo Mkubwa Wa kichwa kisichokuwa na Akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…