covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
ipo hivi nisiwachoshe kihivyo..
simba ni timu kubwa sana Africa kwa sasa hata hivyo kwa sasa timu hii inakabiliwa na changamoto ya kuwa na wachezaji walio chini ya kiwango huu ni ushauri wangu wa jumla.
tujifunze kutoka yanga tusione aibu wenzetu wamefanya maajabu makubwa kwenye mashindano ya kimataifa ebu tujiulize wamefanyajefanyaje..
kifupi tu kwa mtazamo wangu yanga inawachezaji wengi wacongo kwa kweli performance ya wacongo kwenye timu ya yanga ni ya juu sana sio hilo tu kwa kifupi wacongo wanaupambanaji haswa kwa kila jambo wanalodhamiria mfano tunae inonga ni mkongo kila mtu anajua kivumbi cha inonga akiwa uwanjani na jinsi anavyoibeba simba..
sasa kwa kuwa wakongo wanaonesha wapo vizuri sana basi na sisi tusajili wachezaji kutoka huko wanzuri wa kutosha mm naamini hawatatuangusha na tutawashangaza waarabu maana hao ndio kikwazo chetu kikubwa kwenye mashindano ya kimataifa.
tusikimbilie wachezaji wa magharibi hawana kitu na wanawiwango vya kawaida sana.