Ushauri kwa Simba na Yanga

Ushauri kwa Simba na Yanga

3llyEmma

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2017
Posts
6,172
Reaction score
6,884
Habari wadau!!

Ni kuelekelea mechi za Kimataifa .. Waelewe mchezo muhïmu na wenye kupata magoli mengi ni huu wa nyumbani...

Wasijisahau kumaliza mechi mapema magoli Matatu(3) na zaidi ili kusafisha njia.

Jamaa wanafungika Tu
 
Hahaa kibarua kiko misri
 
YANGA VS B...
3-1

SIMBA TO WIN 2-0/2-1...
WAKIFUNGA GOLI WAARABU KAZI WANAYOO MISRI
 
Back
Top Bottom