Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Kwema Wakuu,
Na declare interest, Mimi ni mshabiki na mwanachama hai wa Simba Sport Club, hivyo Tahadhari na ushauri huu ninautoa Kwa nia njema kabisa Kwa lengo la kujenga timu yetu.
Watani zetu Yanga walicheza hapo juzi na Azam wakafanikiwa kushinda mechi yao lakini sisi tukaishia ku droo na Singida. Ina maana ingekua ni ligi tayari Yanga ana points 3, sisi na Singida point 1 Kila mmoja na Azam 0.
Msimu ulioisha wa NBC Premier League, Simba ndio iliyokua imefunga magoli mengi kuliko timu ingine yoyote ile, na pia ndio timu iliyokua imefungwa magoli machache kuliko timu ingine yoyote ile, lakini haikufanikiwa kupata ubingwa. Sababu ni kua sare zilikua nyingi pia.
Sisemi Singida ni wabovu hivyo ilipaswa wafungwe tu, lakini Simba inabidi ijifunze na ijitahidi iwe inamaliza biashara mapema. Ukicheza mechi tatu uka suluhu zote huna tofauti na yule alieshinda mechi moja akafungwa mbili zilizobaki.
Sare chache zinakubalika lakini Kwa timu unayotaka kuwa bingwa basi hizi sare ziwe ni wachezaji wame fight Kwa uwezo wao wote. All in all mpira unadunda na pia una matokeo matatu,
# SimbaNguvuMoja