Pre GE2025 Ushauri kwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Ili kuhakikisha uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025 unakuwa HURU na HAKI hakikisheni mnaajiri wahitimu wa Vyuo mbalimbali waliopo mitaani na kamwe ajira hizi zisitolewe kwa Watumishi wa Serikali.

Wapinzani wamelalamika sana juu ya mwenendo mzima uliosimamia chaguzi zilizopita kuwa zilikuwa za upendeleo zikisimamiwa na Watumishi wa Serikali.

Pia soma > Pre GE2025 - Ushauri wa upendo kwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)
 
Tume ipi hiyo .?

Hii habari ungeipeleka Kenya huko wenye TUME YAO HURU.

Umekosea jukwaa
 
Ili kuhakikisha uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025 unakuwa HURU na HAKI hakikisheni mnaajiri wahitimu wa Vyuo mbalimbali waliopo mitaani na kamwe ajira hizi zisitolewe kwa Watumishi wa Serikali.

Wapinzani wamelalamika sana juu ya mwenendo mzima uliosimamia chaguzi zilizopita kuwa zilikuwa za upendeleo zikisimamiwa na Watumishi wa Serikali.
Mahakama ilikwisha amua, ma-DED hawatakuwa wasimamizi wa uchaguzi mkuu mwaka huu. Vyama vijipange kuwapata mawakala makini kuviwakilisha.
 
Ili kuhakikisha uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025 unakuwa HURU na HAKI hakikisheni mnaajiri wahitimu wa Vyuo mbalimbali waliopo mitaani na kamwe ajira hizi zisitolewe kwa Watumishi wa Serikali.

Wapinzani wamelalamika sana juu ya mwenendo mzima uliosimamia chaguzi zilizopita kuwa zilikuwa za upendeleo zikisimamiwa na Watumishi wa Serikali.

Pia soma > Pre GE2025 - Ushauri wa upendo kwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)
Tume ya uchaguzi haiwi huru kwa kuitwa tu Tume Huru ya Uchaguzi. It must be independent in fact and appearance. This elections commission fails this test!
 
Back
Top Bottom