Ushauri kwa TV1

Malyakishu

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,347
Kuna kipindi kinaitwa the clip .
yani kinakera sana hususani comedian mliyemuweka sio mbunifu hata kidogo anachukua viclip vya wakenya na kuviongelea ongelea hajawahi nisisimua hata kidogo

Kwa ushauri wangu kuliko muweke kipindi cha mc pilipili ni bora muweke kipindi cha mapishi tujifunze kupika kababu na kachori au bagia zitatusaidia hata kunywea chai

Vinginevyo huyo mc pilipili abadili abadili aina ya comed aifanyayo TV1 labda anaweza wavutia watizamaji maana anapoteza muda tu

Japo maneno yangu sio sheria lakini ukweli nmesema
 
Naunga mkono hoja.....mimi naona anacheka mwenyewe tu.....sijuwi hawajuwi maana halisi ya kuchekesha....si bora kipindi chote aweke tangazo lake la KUPATANA.COM....Kuliko upuuzi anaofanya pale.
Mara arembue macho ...

Yani shida tupu
Anaongea ujinga anacheka mwenyewe kuliko watazamaji
 
Tv1 IPO king'amuz gani?kama azam oops nilitupa huko hamna kitu
 
Yaani niliwahi kukiona mara moja hata sikuelewa kinahusu nini, kilinikera tu.
 
Kipindi ni kizuri hasa watoto na wakina mama wa nyumbani wanakipenda sana. MC pilipili ana kipaji kizuri sana katika comedy aongeze ubunifu atafika mbali sana kimafanikio.
Acha kumuongopea mwenzako

Ukweli utakuweka huru

Jamaa comedy hawezi labda ajipange upya ..lasiivyo arudi tu ualimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…